Ili iweje? Huu uzi watu wanatumia kila namna kunifanyia figisu..πNgosha acha swaga za kishamba.
Andika kiswahili kwa faida ya Smart
yaani kama vile hakijatokea kitu!Emmanuel Nchimbi atumbuliwa, hilo ndilo jipya.
Missing u so badd sissy..π
π―humu ndani mambo ni mob, and yeah nilipigwa ban wenye kuhitaji nafasi hiyo ofcourse wali party kama kawaida yao! Huku ndani mama njoo jifurahishe na wanaocheka na wewe, toka zako!
Naamini watu wa namna hii wana matatizo ya akili, mtu akiwa timamu hawezi kubahave kwa namna hiyo.Ukijichanganya sana especially na hii gender π± utashangazwa! Out of air utanuniwa, utajikuta kwenye kakikundi ka kipuuzi like mnamgombea mtu wakati u r here for fun! Na kuna kausenge wakikuona huandamani na id fulani wanajiunga nayo, without knowing anything behind!
Wengine ndio hao multiple za kisenge na ukisema this psycho is dead to me anakujia na multiples lukuki, ni kama anatumwa hivi.. I donβt reply shit! yani vichekesho tu kama machokoraa vileπ
Niko makini always, stay safe babes!Kuwa makini mamaa hakuna rafiki yako humu! Am outπ€Έπ½ββοΈ
Bro, nini kinaendelea humu, mbona vurumai sana?
Pole sana, vipi umepata siti au umeandika hii reply baada ya kufika kariakoo?Huu uzi nimeusoma kwa shida sana nikiwa naelekea Kariakoo ndani ya bajaji iliyotujaza kama magunia ya mkaa.
Bro tulia kuna msiba.....Bro, nini kinaendelea humu, mbona vurumai sana?
Unaumwa, nenda kapate psychiatric help kabla hujaanza kuokota makopo mtaani!Mwanike ahene wanikolaga noi, ihaha lijukwaa lanibona vibaya ghete
Tushaambiwa kifo ni kifo bro, hebu tusizue taharuki π!Bro tulia kuna msiba.....
Ulehaya maneno madimu sana mwanike, unene nakutogilwe ubebe duhu,Unaumwa, nenda kapate psychiatric help kabla hujaanza kuokota makopo mtaani!
π€π€π€ Niko poaTushaambiwa kifo ni kifo bro, hebu tusizue taharuki π!
Uko poa lakini?
Long time ulienda wapi?
Eti inasemekana de Gunner anayasambaza mtaani kuwa mimi na wewe tunamilikiwa na yeye na kwamba ametuonea huruma sisi sio type yake π©
Kuna mambo mtaani. (Kwa sauti ya Diamond)
Duuh, alifanyaje tena?Emmanuel Nchimbi atumbuliwa, hilo ndilo jipya.
Kuna mengine yapi? hebu nishushie mafaili.Bado hujaona vyote kaa kaa hata mweziπ
Jitambulishe basi na ID yako ya zamani, au ni secretarybird au KERATO MOMBAA mmeamua kuja kivingine?Humu kuna mengi kumbe
Moja baada ya jingine utayajua yote!Kuna mengine yapi? hebu nishushie mafaili.
Siku hizi amebadilika sana acha tu! Kuna siku kaanzisha uzi anapenda harufu ya k uzi ukaenda na maji! Amesema sisi sura za baba hakuna kuomba pesaπHalafu nimeona best yako anaandika mambo ya "kuichapa na kuiwekea mate" toka lini bwashee ameanza story za kungonoka? au alikua kalewa?