Nimepima Hepatitis B niko positive

Nimepima Hepatitis B niko positive

Yesu wangu.....hiyo hepatitis B ninavyouogopa yaani nshamkumbuka Fork ( member aliyekufa na huo uginjwa). Mzee fatilia kila wanalokwambia
Baada ya kufuatilia uzi hapa inayohusu Hepatitis B, leo nilienda kufanya vacination, wakasema hawawezi kutoa vacination bila kupima, wakapima nikiwa naona kwa sababu aliyenipima tunazoea naye.

Baada ya kupima, ikatiki (ikareact), akabadilisha kipimo ya kampuni nyingine.

Ikatiki tena (ikareact) hapo nikaprove am Hepatitis B positive, akaniomba nakapime na HIV ili ajue jinsi ya kunikacounsel kwa kuwa sikuwa na wasi wasi kwenye HIV coz najijua na najitahidi sana kujikinga pamoja na kupima HIV mara kwa mara vipimo viwili tofauti ikaonyesha Negative (Non reactive).

Hapa nimeshauriwa nitatumia ARV kwa miezi sita alafu narudia kupima tena, wakanitia moto nitapona bila shida.

Nawauliza kuna aliyewahi kutumia ARV (TLD) kutibu Hepatitis B disease anipe mwongozo, alipoenda kupima baada ya kutumia dawa alipata majibu aina gani?

Unapona kweli? Au nikusubiri kifo mapema? Cha ajabu sijawahi kusikia tatizo lolote kubwa ya kiafya.

Naomba msaada kwa mwenye uelewa na cha kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
unajua tunaposema Hepatitis ni maambukizi ya Ini yanasosababishwa na Virus tofauti kama vile Flavivirus, Hepadna Virus , Calicivirus , Enterovirus n.k......kwa Hepatitis B ..maana yake unamaambukiz ya Hepadna Virus ..ARVs ni anti retroviral Dawa mahususi za kuzuia HIV .. Unajua kwann umepimwa na HIV?? Ni kwasababu ni Co-infenctions yaan Ni rahisi kumkuta mwenye HIV ana HBV lkn sio lazima mwenye HBV awe na HIV.

Sasa kwann unatumia ARV za HIV?? Kwa sababu HBV yeye kama yeye hana Dawa, Ila katika kufanya utafiti ikaonekana Dawa za ARVs mahususi kwa HIV zinauwezo wa kumzuia HBV asizidi kuzaliana nahatimaye kufutiliwa mbali na kinga ya mwili.

Ndio sababu, ARV zinatumika ..nakama ni acute nirahisi kupona kama utafuata Mashariti kwa muda huo wote .
Ningetamani watu wengi wasome huu uzi na comments zake,kuna elimu kubwa sana hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yako yote
Ocean road kinga ni kati ya 10000 mpk 15000 ni cheap kulinganisha na sehem zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah sawa itabidi siku nikipata nafasi niende kujikinga.
Kiukweli nilikuwa siujui huu ugonjwa ndio nimeujulia hapa.
Miaka ya nyuma nilikuwa naona tu umeandikwa kwenye makaratasi ila sikuuchukulia maanani nikajua labda ni Kama maralia tu.
Kumbe ni kitu hatari hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndo ushauri,usimeze kidonge ata kimoja bila kupima viral load,ili uweze kumeza ARV Lazma kuna idad ambayo virus wanatakiwa wafike,angalau 20,000

SO USIMEZE DAWA KABLA YAKUPINA VIRAL LOAD NA JITAHID UONANE NA SPECIALIST,,,,

NENDA REGENCY HOSPITAL J4 AU ALH SPECIALIST ANAKUEPO KUANZIA SA 10 JION NADHAN.

KUHUS KUPONA KUNA WATU WAMAPONA BAADA YAKUTUMIA DAWA 6 MONTH AND SO,SO ITS TRUE UNAWEZA KUPONA

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah sawa itabidi siku nikipata nafasi niende kujikinga.
Kiukweli nilikuwa siujui huu ugonjwa ndio nimeujulia hapa.
Miaka ya nyuma nilikuwa naona tu umeandikwa kwenye makaratasi ila sikuuchukulia maanani nikajua labda ni Kama maralia tu.
Kumbe ni kitu hatari hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jitahidi sana tena sana,sisi Watanzania magonjwa kama haya wengi wanaishi nao kwa kujua au kutojua....lkn kuna wengi hawapendi kuelezea ili kuwasaidia jamii .Namshukuru Mungu tangia nipime nimeelezea kwenye group ya wezangu nikawambia hali halisi kuhusu mimi nafrahi wamehitikia kupima na wameanza kupata chanjo nitasimamia hili swala hata nikitangulia lkn kuna wengine wamebadilika coz Watu wengine mpaka waone kwa wengine ndipo wanafuatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jitahidi sana tena sana,sisi Watanzania magonjwa kama haya wengi wanaishi nao kwa kujua au kutojua....lkn kuna wengi hawapendi kuelezea ili kuwasaidia jamii .Namshukuru Mungu tangia nipime nimeelezea kwenye group ya wezangu nikawambia hali halisi kuhusu mimi nafrahi wamehitikia kupima na wameanza kupata chanjo nitasimamia hili swala hata nikitangulia lkn kuna wengine wamebadilika coz Watu wengine mpaka waone kwa wengine ndipo wanafuatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu wangu.....hiyo hepatitis B ninavyouogopa yaani nshamkumbuka Fork ( member aliyekufa na huo uginjwa). Mzee fatilia kila wanalokwambia

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
kweli mkuu,ni hatari sana lkn lazima nikubali uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jitahidi sana tena sana,sisi Watanzania magonjwa kama haya wengi wanaishi nao kwa kujua au kutojua....lkn kuna wengi hawapendi kuelezea ili kuwasaidia jamii .Namshukuru Mungu tangia nipime nimeelezea kwenye group ya wezangu nikawambia hali halisi kuhusu mimi nafrahi wamehitikia kupima na wameanza kupata chanjo nitasimamia hili swala hata nikitangulia lkn kuna wengine wamebadilika coz Watu wengine mpaka waone kwa wengine ndipo wanafuatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wote tutaondoka kwa namna moja au nyingine. Tunashukuru kwa kushare nasi. Ila kabla hujaanza dawa nenda kapate 2nd and 3rd opinions. Upate ushauri wa kitaalamu unaojitosheleza ili unapoamua kufuata matibabu unakuwa una uelewa. Kila la kheri.
 
Mkuu jitahidi sana tena sana,sisi Watanzania magonjwa kama haya wengi wanaishi nao kwa kujua au kutojua....lkn kuna wengi hawapendi kuelezea ili kuwasaidia jamii .Namshukuru Mungu tangia nipime nimeelezea kwenye group ya wezangu nikawambia hali halisi kuhusu mimi nafrahi wamehitikia kupima na wameanza kupata chanjo nitasimamia hili swala hata nikitangulia lkn kuna wengine wamebadilika coz Watu wengine mpaka waone kwa wengine ndipo wanafuatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nimekupata,sema Kuna kitu kimoja Bado sijaelewa.
Njia kuu ya maambukizi ya huu ugonjwa ni ipi ili tuweke tahadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu nimekupata,sema Kuna kitu kimoja Bado sijaelewa.
Njia kuu ya maambukizi ya huu ugonjwa ni ipi ili tuweke tahadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ungonjwa njia kuu ni ngono zembe ila unaambukizwa hata kwa jasho tu limegusana yaan maambukizi yake ni hatari zaidi ya HIV lkn watu wamezubaa wanawaza kupima HIV tu na kubanjuka wanasahau hii kitu

Cha kujiongezea hapo ni pamoja na kukisiana au kupigana denda ,kirusi cha HBV inachukua muda mrefu kufa ikiwa nje ya mwili kwa hiyo tahadhari inahitajika hata kwa damu lililokauka hata kwa siku saba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ungonjwa njia kuu ni ngono zembe ila unaambukizwa hata kwa jasho tu limegusana yaan maambukizi yake ni hatari zaidi ya HIV lkn watu wamezubaa wanawaza kupima HIV tu na kubanjuka wanasahau hii kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah Asante Sana mkuu nazidi kupata mwangaza.
Na swali langu la mwisho ni je mtu anayeumwa huo ugonjwa unaweza kumtambua?yaani ana dalili zipi ukimuangalia kwa macho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siyo Virologist lkn nafikiri kuna utata, kwani cha muhimu ni viral load au kiasi cha viruses ulichonacho hilo ndiyo muhimu, na pia hepatetis B kuna chronic na acute, watu wengi walio na hepatetis B Tanzania walipata kutoka kwa mama zao wakati wanazaliwa kwa kuwa Tanzania hakuna chanjo ili kuzuia maambukizi ya virus ktk kwa mama kwenda kwa mtoto, hivyo bado Watanzania wengi bila ya kujua wanaishi na virus vya hepatetis B.

Kinachoamua kama uanze kutumia dawa au la ni kiasi cha virus au viral load, na hilo Daktari virologist lazima ajue.

Hepatetis B haina dawa, maana yake ni kwamba utaishi na virus mpaka mwisho wa maisha yako ila cha muhimu kuliko vyote ni afya ya ini, kwani hawa virus wa hep B husababisha saratani ya ini ambayo haina kinga, hivyo ni lazima kufanya vipimo vya ini, ...
Ushauri. Mzuri Sana, pia Erika kushibisha Sana tumbo ,Kula kidogokidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna unalojua wewe , issue ndogo ya Hepatitis B inakutoa Jasho na ukute ni mtu kasomeshwa kwa Kodi zetu wananchi..

Unashindwa ku-argue kwa hoja unakimbilia eti "Mimi navifanyia kazi daily"

Kuna mzungu mmoja ni daktari ambae najua wewe mpaka kifo chako huwezi fikia status yake kwenye masuala ya afya alinipa hizo hints na ni kweli Zina logic na kumake sense...

Sasa wewe daktari wa vitini na notes za nyambali nyangwine ukute chuo umesomea hapo St Joseph unajiona unajua kila kitu kumbe mweupe Kama unga kichwani ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maneno haya mkuu kwanini wewe usituambie unachokijua ili tupime nani ni mweupe kichwani kumshambulia mtoa mada ten pernonal haukutenda haki dhidi yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom