Nimepima Hepatitis B niko positive

Nimepima Hepatitis B niko positive

Baada ya kufuatilia uzi hapa inayohusu Hepatitis B, leo nilienda kufanya vacination, wakasema hawawezi kutoa vacination bila kupima, wakapima nikiwa naona kwa sababu aliyenipima tunazoea naye.

Baada ya kupima, ikatiki (ikareact), akabadilisha kipimo ya kampuni nyingine.

Ikatiki tena (ikareact) hapo nikaprove am Hepatitis B positive, akaniomba nakapime na HIV ili ajue jinsi ya kunikacounsel kwa kuwa sikuwa na wasi wasi kwenye HIV coz najijua na najitahidi sana kujikinga pamoja na kupima HIV mara kwa mara vipimo viwili tofauti ikaonyesha Negative (Non reactive).

Hapa nimeshauriwa nitatumia ARV kwa miezi sita alafu narudia kupima tena, wakanitia moto nitapona bila shida.

Nawauliza kuna aliyewahi kutumia ARV (TLD) kutibu Hepatitis B disease anipe mwongozo, alipoenda kupima baada ya kutumia dawa alipata majibu aina gani?

Unapona kweli? Au nikusubiri kifo mapema? Cha ajabu sijawahi kusikia tatizo lolote kubwa ya kiafya.

Naomba msaada kwa mwenye uelewa na cha kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
HABARI NA POLE SANA KWA SHIDA ULIYOIPATA ILA USIWE NA HOFU SANA SABABU HBV KUNA BAADHI YA WATU HUPONA NDIO ILA NAOMBA NIKWAMBIE KITU KIDOGO CHA MUHIMU HAPA
SIO SAHIHI KUANZA DAWA TU MOJA KWA MOJA BAADA YA KUPIMA KUNA VIPIMO UNATAKIWA KUFANYA KWANZA NDIPO UANZE DAWA AU LAH
KWANZA UJUE HBV YAKO NI ACUTE AU CHRONIC HBcIgM means ikiwa positive hapa utakua na acute hivo itaangaliwa HBeAg kama una weza ambukiza watu or not kwa jasho lako na mate ikiwa positive moja kwa moja utaangalia viral load na ultrasound ya ini kuagalia kama limeanza athirika pia wataangalia AFP kuangalia kama ini limeanza develop any tumors if not basi utaanza dawa za milele maana hauponi hapa kama hizo zitakua positive
Ila zikiwa neg basi utaanza dawa kwaajili ya kutibu japo kwa baadhi inawachukua miezi mingi sana mpk kuvidhibiti vimelea hivo
Hivyo nashauri uwaone virologist pale muhimbili watakusaidia vizuri kabisa usianze dawa tu haraka haraka wakati hauna sifa za kutumia dawa bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujua kama ni chronic au acute vipimo vya maabara ni HBcIgM hiki kikiwa positive maana yake ni acute so unakua kwenye danger zone ila ikiwa negative inakua ni chronic unakua safe maana ini linakua bado liko salama japo unatakiwa kupima kwanza AFP na ultrasound pia LFT(ALT,AST,BILT,BILD) n.k

Kujua kama virus wako active or not Pima HBeAg ikiwa pos means active infection ikiwa neg halafu HBeAb positive basi wanakua hawako active pia hapa unaweza kujua kama unaweza ambukiza au hauwezi na pia kujua kama ini limeshaanza shambuliwa or not

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu. Mm nnaishi na huo ugonjwa kwa mwaka wa 5 sasa, madakatar weng Tz hawajaufaham vizur na utafiti bado unaendelea ndo maaana hakuna mwenye jibu la moja kwa moja kuwa nn chanzo cha homa ya ini, nakushauri mm achana na hizo ARV ishi kwa kulilinda Inni lako basi utatoboa kulko hataa wasiokuwa na hivi virusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kufuatilia uzi hapa inayohusu Hepatitis B, leo nilienda kufanya vacination, wakasema hawawezi kutoa vacination bila kupima, wakapima nikiwa naona kwa sababu aliyenipima tunazoea naye.

Baada ya kupima, ikatiki (ikareact), akabadilisha kipimo ya kampuni nyingine.

Ikatiki tena (ikareact) hapo nikaprove am Hepatitis B positive, akaniomba nakapime na HIV ili ajue jinsi ya kunikacounsel kwa kuwa sikuwa na wasi wasi kwenye HIV coz najijua na najitahidi sana kujikinga pamoja na kupima HIV mara kwa mara vipimo viwili tofauti ikaonyesha Negative (Non reactive).

Hapa nimeshauriwa nitatumia ARV kwa miezi sita alafu narudia kupima tena, wakanitia moto nitapona bila shida.

Nawauliza kuna aliyewahi kutumia ARV (TLD) kutibu Hepatitis B disease anipe mwongozo, alipoenda kupima baada ya kutumia dawa alipata majibu aina gani?

Unapona kweli? Au nikusubiri kifo mapema? Cha ajabu sijawahi kusikia tatizo lolote kubwa ya kiafya.

Naomba msaada kwa mwenye uelewa na cha kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa wajisikiaje hadi kuamua kupima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unajua nn?? simpaka usimuliwe ?? Mimi navifanyia kazi daily....nyau wee !!!
Huna unalojua wewe , issue ndogo ya Hepatitis B inakutoa Jasho na ukute ni mtu kasomeshwa kwa Kodi zetu wananchi..

Unashindwa ku-argue kwa hoja unakimbilia eti "Mimi navifanyia kazi daily"

Kuna mzungu mmoja ni daktari ambae najua wewe mpaka kifo chako huwezi fikia status yake kwenye masuala ya afya alinipa hizo hints na ni kweli Zina logic na kumake sense...

Sasa wewe daktari wa vitini na notes za nyambali nyangwine ukute chuo umesomea hapo St Joseph unajiona unajua kila kitu kumbe mweupe Kama unga kichwani ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu. Mm nnaishi na huo ugonjwa kwa mwaka wa 5 sasa, madakatar weng Tz hawajaufaham vizur na utafiti bado unaendelea ndo maaana hakuna mwenye jibu la moja kwa moja kuwa nn chanzo cha homa ya ini, nakushauri mm achana na hizo ARV ishi kwa kulilinda Inni lako basi utatoboa kulko hataa wasiokuwa na hivi virusi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Woga umeshanishika tayari sikukuu ziishe niende kupima na kupata chanjo ya hepatis b
Kuhusu kulinda ini kunafanyikaje! Unazingatia vitu gani?
 
Weee bana tulia huna ujualo.

Acha kumdanganya mwenzako asitishe matibabu na kukimbilia Lishe .

Ingekua ni rahisi rahisi km unavyofikiria Hata yeye angeambiwa Tumia Lishe ...

Na kwann umeenda kutafuta chanjo ili hali Dawa yake ni Lishe tu???... Huu ndo ujinga wenyewe .

Ungesubiri upatwe wewe ,alafu ukaona km tusingekuanzishia ARV..

Mzungu ndo nn sasa ?? Acha akili za kiafrika jomba !!!
 
Lengo kubwa ilikuwa kufanya vacination ya HBV na ndio haya mambo yakatokea ..in short namuachie Mungu cna cha kusema

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana usiumie sana Mkuu, HBV ni more infectious Mara 15 zaidi ya HIV ivo ni rahis kuipata ndio maana hukujijua awali.

Mimi Naweza kukuunganisha na watu naowajua wakakupa uzoefu wao ambao umepelekea kupona.

Kikubwa fuata Mashariti tu ,Kula vzuri uimarishe kinga then Utapona... Ilo ndo naloweza kukuambia.

Kama utasuasua ktk matibabu ,ugonjwa ukawa Chronic ndio hatare zaidi.

USIKATE TAMAA!!!
 
Usijari utapona kwa kuwa umewahi,ungesubir signs and symptoms ingekuwa balaa
Baada ya kufuatilia uzi hapa inayohusu Hepatitis B, leo nilienda kufanya vacination, wakasema hawawezi kutoa vacination bila kupima, wakapima nikiwa naona kwa sababu aliyenipima tunazoea naye.

Baada ya kupima, ikatiki (ikareact), akabadilisha kipimo ya kampuni nyingine.

Ikatiki tena (ikareact) hapo nikaprove am Hepatitis B positive, akaniomba nakapime na HIV ili ajue jinsi ya kunikacounsel kwa kuwa sikuwa na wasi wasi kwenye HIV coz najijua na najitahidi sana kujikinga pamoja na kupima HIV mara kwa mara vipimo viwili tofauti ikaonyesha Negative (Non reactive).

Hapa nimeshauriwa nitatumia ARV kwa miezi sita alafu narudia kupima tena, wakanitia moto nitapona bila shida.

Nawauliza kuna aliyewahi kutumia ARV (TLD) kutibu Hepatitis B disease anipe mwongozo, alipoenda kupima baada ya kutumia dawa alipata majibu aina gani?

Unapona kweli? Au nikusubiri kifo mapema? Cha ajabu sijawahi kusikia tatizo lolote kubwa ya kiafya.

Naomba msaada kwa mwenye uelewa na cha kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu. Mm nnaishi na huo ugonjwa kwa mwaka wa 5 sasa, madakatar weng Tz hawajaufaham vizur na utafiti bado unaendelea ndo maaana hakuna mwenye jibu la moja kwa moja kuwa nn chanzo cha homa ya ini, nakushauri mm achana na hizo ARV ishi kwa kulilinda Inni lako basi utatoboa kulko hataa wasiokuwa na hivi virusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie sasa na jinsi ya kulilinda hilo ini
 
Gharama za kupimahii kitu ikoje mkuu??
Hapana usiumie sana Mkuu, HBV ni more infectious Mara 15 zaidi ya HIV ivo ni rahis kuipata ndio maana hukujijua awali.

Mimi Naweza kukuunganisha na watu naowajua wakakupa uzoefu wao ambao umepelekea kupona.

Kikubwa fuata Mashariti tu ,Kula vzuri uimarishe kinga then Utapona... Ilo ndo naloweza kukuambia.

Kama utasuasua ktk matibabu ,ugonjwa ukawa Chronic ndio hatare zaidi.

USIKATE TAMAA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna unalojua wewe , issue ndogo ya Hepatitis B inakutoa Jasho na ukute ni mtu kasomeshwa kwa Kodi zetu wananchi..

Unashindwa ku-argue kwa hoja unakimbilia eti "Mimi navifanyia kazi daily"

Kuna mzungu mmoja ni daktari ambae najua wewe mpaka kifo chako huwezi fikia status yake kwenye masuala ya afya alinipa hizo hints na ni kweli Zina logic na kumake sense...

Sasa wewe daktari wa vitini na notes za nyambali nyangwine ukute chuo umesomea hapo St Joseph unajiona unajua kila kitu kumbe mweupe Kama unga kichwani ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa vizuri ukasema jamaa kakosea wapi..kuanza mipasho sio jambo jema,na mwisho wa siku utaonekana wewe ndo mpumbavu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom