NYOTIENO JARIEKO
Senior Member
- Apr 29, 2017
- 196
- 325
- Thread starter
- #41
kweli mkuu, nenda ujapime ukapate chanjo,unaweza kutumia njia zote,kuzuia HIV ukapata HBV ,cha kushangaza Watanzania wengi hatuna.elimj kuhusu huu ugonjwa..nimewaza sana ndungu zangu waliopo kijijini.,wanaofanya kazi ngumu kma kuchanganya zege, mbanano kwenye mwendokasi na daladala mwisho wa siku ni kumwachie Mungu tu .Woga umeshanishika tayari sikukuu ziishe niende kupima na kupata chanjo ya hepatis b
Kuhusu kulinda ini kunafanyikaje! Unazingatia vitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
