Nimepigwa na house girl

Nimepigwa na house girl

sina,kwani ata ningekuwa naye ndiyo ingekuwaje? wangapi wana wake lakini bado wana house girl
hakuna alietaka maelezo yote hayo bro,,, just yes or no... kama kupigwa ushapigwa.... ni kwa sababu ya upumbafu wako.....kuna mtu amechangia hapa hili umeleta kuchangamsha genge........
 
Nipo kwenye machungu yasiyo na kifani baada ya kupigwa tsh 700,000 na house girl. Ilikuwa hivi jana nimechukua iyo fedha toka ATM ili nikalipe mafundi wanaonifanyia kazi moja ya ujenzi. Fedha zote zote hizo nikaziweka kwa mfuko wa nyuma ,basi jana jioni kufika nyumbani nikavua hiyo suruali nikaitundika kwenye suruali nakaingia kulala. Kuamka asubuhi kwa bwebwe zote nikakusanya nguo zote pamoja na ile suruali iliyokuwa na laki saba kwenye mfuko wa nyuma nikamkabidhi house girl kwa ajili ya kufua. Basi nikaseme ngoja nipate supu apa mtaani alafu nielekee site kukutana na mafundi,ile namaliza kupata supu ndipo nakumbuka fedha za kwenda kuwalipa mafundi nimezisahau kwenye suruali niliyovaa jana.
yaani nilirudi nyumbani kwa kasi ya duma, nafika nakuta baadhi ya nguo zipo apo chini na zingine bado azijafanyiwa ufuaji,alafu mhusika(house girl) haonekani. Duh nikajua tayari nimeshapigwa alafu kazima na simu,kumbe kabeba laki saba katokomea zake. Yaani nimechoka kwa kweli ,housegirl kanifanya mtaji, ila kitaelweka tu nitamtafuta kila kona kuanzia nchi kavu,angani adi majini , kwa sababu maumivu aliyoniachia ni zaidi ya mwanaume kupigwa kwenye testicle.Uzuri baadhi ya ndugu zaka nawafahamu, usiombe upigwe laki saba kipindi hiki.
Hahaaa ! Pole mkuu , hawa viumbe ndo maana huwa wanakatwa masikio , hawafai hata kwa kuulumangia , mimi ningekuwa wewe nikimkamata huyo kibaka wala simpigi namteka kwa nguvu nampeleka kwangu namfungia namla papuchi na tigo mwezi mzima mfululizo bila huruma , yaani dozi ya kutwa mara nne , mamaee
 
Nipo kwenye machungu yasiyo na kifani baada ya kupigwa tsh 700,000 na house girl. Ilikuwa hivi jana nimechukua iyo fedha toka ATM ili nikalipe mafundi wanaonifanyia kazi moja ya ujenzi. Fedha zote zote hizo nikaziweka kwa mfuko wa nyuma ,basi jana jioni kufika nyumbani nikavua hiyo suruali nikaitundika kwenye suruali nakaingia kulala. Kuamka asubuhi kwa bwebwe zote nikakusanya nguo zote pamoja na ile suruali iliyokuwa na laki saba kwenye mfuko wa nyuma nikamkabidhi house girl kwa ajili ya kufua. Basi nikaseme ngoja nipate supu apa mtaani alafu nielekee site kukutana na mafundi,ile namaliza kupata supu ndipo nakumbuka fedha za kwenda kuwalipa mafundi nimezisahau kwenye suruali niliyovaa jana.
yaani nilirudi nyumbani kwa kasi ya duma, nafika nakuta baadhi ya nguo zipo apo chini na zingine bado azijafanyiwa ufuaji,alafu mhusika(house girl) haonekani. Duh nikajua tayari nimeshapigwa alafu kazima na simu,kumbe kabeba laki saba katokomea zake. Yaani nimechoka kwa kweli ,housegirl kanifanya mtaji, ila kitaelweka tu nitamtafuta kila kona kuanzia nchi kavu,angani adi majini , kwa sababu maumivu aliyoniachia ni zaidi ya mwanaume kupigwa kwenye testicle.Uzuri baadhi ya ndugu zaka nawafahamu, usiombe upigwe laki saba kipindi hiki.
nenda polis cyber crimes wanamdaka fasta
 
Huwezi kusahau laki saba kwenye mfuko wa suruali kama maisha yako njaa njaa kama wewe? Hapo utakuwa umeongeza sifuri sifuri mbele itakuwa elfu 7 ya supu baada ya kubanwa na mama ntilie ukaona ukimbilie nyumbani kusave nayo ukaona hola ndio unamsingizia dada wa watu kusave soo au kuja kuchangamsha genge humu.

Laki saba tena ya ujenzi usahau kwenye mfuko wa suruali kwa usawa huu wa magu njoo na bandiko jingine mkuu.
pale maskini anapombahatisha maskini mwenzio atapigwa kipigo cha mbwa koko...umempiga mwenzio ewe Zero IQ
 
Nimejaribu kufikiria nje ya box, yawezekana wewe ndie umekua chanzo cha HG kukupiga hiyo njaro. Na sababu kubwa inayo nisababisha niwaze hilo ni, kama ungekua una mahusiano mazuri na pamoja na kumtreat HG kama mwanao ama mdogo wako..... sidhani kama hili lingetokea.
sijawai kumfanyia ubaya wowote , kama posho yake kila mwezi nilikuwa nampatia bila kuchelewa
 
.Uzuri baadhi ya ndugu zaka nawafahamu, usiombe upigwe laki saba kipindi hiki.

Mkuu, housegirl kafanya hesabu kali; ipi ina faida zaidi, kuendelea na kazi hapo kwako au kukupiga hizo laki saba. Labda ulikuwa unamlipa kiasi kidogo sana bila marupuruu na hiyo laki saba akaona hata akae kwako miaka mitano hataweza kui-save.

Kumbuka housegirls wanatakiwa walipwe minimum wage Tshs 400,000, sasa ukimpa Tshs 50, 000 atakuwa anakuibia tu.

House girl wangu kwa mshahara anaopata, marupurupu na kiinua mgongo nilichomwahidi kama akikaa zaidi ya miaka mitatu, hata akikuta milioni mfukoni hatachukua akimbie - itakuwa hasara kwake!
 
Unampa pole ya bure tu huyu mkuu wewe kweli unaweza kusahau laki saba kwenye mfuko wa suruali kwa usawa huu wa magu?

Hiyo hela ata ukilala na mke usiku unashituka kuitazama kama ipo kweli.
Hahaa
 
Back
Top Bottom