Nimepigwa na Askari na kuumizwa, nipo Hospitali

Tafuta mwanasheria mkuu, fuatilia hilo upate haki yako
This is a branch of "Law of Torts" the duty to develop Tort laws lies on the Courts of record in our Land. UNFORTUNATELY our society this law is an alien/stranger concept, and they are not prepared to channel through it. Again even our Courts are reluctant to develop this branch of Law as it was done in both England and Indian Courts.

I CAN PIN MY PEN, BY SAYING "TORTS ACTION" HAVE BEEN GREATLY DONE IN ENGLAND. IN OUR LAND TORTS ACTION HAVE BEEN BURIED ALIVE.

Siku hizi hata mkopaji wa SACCOS asiporejesha ndani ya muda atapelekwa Polisi, (mfano ninao) which is an institution that is concerned with Criminal offences ONLY. Je kutorejesha mkopo ni kosa la jinai??.

"The statement, KUJIPATIA PESA KWA NJIA YA UDANGANYIFU, have been high wrongly interpreted by police offices and used as a shield for oppressions of innocent citizens who have a contract prior".
 
Ila hii mitandao walah achen tu
Hakuna polisi, tens mbele ya polisi wengine, anaweza fanya hivyo bila sababu. Kuna sababu, japo iaweza kuwa ya kijinga kabisa, na yeye kuikuza ili kuhalalisha kitendo hicho. Pungufu ya hapo, atakuwa ameehuka ghafla na wenzake wakashindwa kumdhiti. Remember, to every cause there is a reason.
 
Maelezo yako hyajitoshelezi........napia kuleta hapa Sidhani kama itakusaidia.....Nadhani ungeleta hapa baada ya kukosa msaada
 
Maelezo yako hyajitoshelezi........napia kuleta hapa Sidhani kama itakusaidia.....Nadhani ungeleta hapa baada ya kukosa msaada
Usimkatishe tamaa.Kafanya jambo kubwa sana kuileta Jf.Hatujuani humu.We elewa tu kapatia haswa.
Subiri utasikia majibu yake siku sio nyingi ndio utaelewa Jf ni kitu gani.
 
Pole sana. Lakini polisi ulienda kufanya nini kama sio uchokozi? "Wapigwe tu mmh maana hakuna namna"
Bwashee sisi kihurio hatuko hivyo ulimpaje ufunguo wa gari au ngomi zake zilikuwa zinaelekea pia mifukoni?
 
Pole sana. Lakini polisi ulienda kufanya nini kama sio uchokozi? "Wapigwe tu mmh maana hakuna namna"
Bwashee sisi kihurio hatuko hivyo ulimpaje ufunguo wa gari au ngomi zake zilikuwa zinaelekea pia mifukoni?
Unakosea kusema hivyo ukiwa kama raia mwema,polisi nilienda kusikiliza wito baada ya daladala yangu kuchukuliwa na huyo askari pia ikumbukwe kuwa polisi ni sehemu ambayo hata mhalifu anaweza kukimbilia ili kunusuru maisha yake
 
Tena omba Mungu rais hasijue kabisa. Akijua tu huyo askari anapanda cheo chap chap
Nina imani kubwa sana juu ya raisi wangu mpendwa maana ni raisi wa wanyonge hivyo hawezi kumpandisha cheo huyo askari maana hakutenda jambo jema kwa raia
 
Nina imani kubwa sana juu ya raisi wangu mpendwa maana ni raisi wa wanyonge hivyo hawezi kumpandisha cheo huyo askari maana hakutenda jambo jema kwa raia
Wewe ukumbuki alisema mwenyewe. Alsema mkiwapiga hao wanyonge au mkiwauwa mwende mkaongeze cheo. UKUMSIKIA
 
View attachment 1076020

Mimi ni mwananchi, mfanyabiashara naishi Mbagala jijini DSM katika Wilaya ya Temeke.

Leo tarehe 19/04/2019 majira ya saa nne asubuhi ndani ya kituo cha Polisi cha Maturubai, Mbagala nimeshambuliwa bila hatia yoyote na askari Polisi anayefahamika kwa jina la Friday Mgina akiwa amevaa sare za Jeshi la Polisi na amenishambulia mbele ya askari wenzake na amepora gari langu aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T615 DBX na kuondoka nalo na mpaka sasa sijui hilo gari lipo wapi.

Kwa sasa nipo hospitali ya serikali Mbagala Zakhiem kwa ajili ya matibabu ila hali yangu ni mbaya kwani nikikohoa natoa damu na nikipiga chafya natoa damu.

Nawaomba viongozi wangu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wapate taarifa ili hata nikifa ifahamike chanzo cha kufa kwangu ni kipigo nilichopewa na askari huyu.

Pia naomba sana taarifa hizi zimfikie Rais wangu mpendwa aone jinsi mwananchi wake nisiye na hatia nilivyoteswa na kuumizwa na Askari Polisi.
Tii sheria bila shuruti, vinginevyo upigwe tuu
 
Back
Top Bottom