Nimepigwa mzinga wa maana leo

Hao lazima ni member wa bawacha

Ndio wenye akili hizi
 
Pole Kiongozi, mbona hao kitambo tu wapo na hari hii ya sasa ndio wamezidi
 
 
DOOOOOOOOOOOO Wewe Kaka elfu 2 tu,unakuja kulia huku jamiiForum.hao wadada wamebuni jinsi ya kuweka oil vyuma
 
DOOOOOOOOOOOO Wewe Kaka elfu 2 tu,unakuja kulia huku jamiiForum.hao wadada wamebuni jinsi ya kuweka oil vyuma
Kwa kweli ni wabunifu aiseee. Assume amepiga vichwa 20 kwa siku. Kwa mwezi laki 8.
 
We bwana nitake radhi,
Hapo kwenye utangulizi wako,
Mimi si mwana wa nobody labda hao wengine sio mimi aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…