Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Ulimpiga au Ulimgegeda??
 
Nakazia.... Sasa mtu pesa hana anatongoza mwanamke anafikiria yule mtu atatunzwa na nani???? Mambo ya kutaka kumiliki wanawake huku wanagongewa haya.....

Najua wapo wa anaetunzwa mke.... Nawajibu kabisa anaepaswa kuombwa mgegedo ni mke
Haswaaaa
 
Mwanamke anaweza kuolewa na wanamume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja?. Mwamme anaweza kuoa wanawake zaidi ya mmoja na nirukusa kisheria za serikali na baadhi ya dini.
Khee mmeshabadilisha na maana ya malaya tena? Ninyi si mnasemaga mwanamke aliyetembea na wanaume wengi ni malaya ila mwanaume aliyetembea na wanawake wengi ni kidume?
 
Hahahaha. Vizuri kitandani balaaa. Mengine siyo shida unaviacha tu vikazimue kwa watoto wenzake
Weee kuna wanawake wamevifuga ndani hivyo na bado vinawanyanyasa na vinawasaliti havinaga hata shukrani
 
Mwanamke anaweza kuolewa na wanamume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja?. Mwamme anaweza kuoa wanawake zaidi ya mmoja na nirukusa kisheria za serikali na baadhi ya dini.
Sasa basi kama hamuwezi kubadilisha hiyo mitazamo yenu ndiyo msilalamike wanawake wanapowasumbua kuwapa mizigo na nimesema hiyo ni mitazamo tu kwa sababu kwenye dunia hii hii tunayoishi wapo wanawake wengi walioolewa na wanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja
 
siku ukipgwa buku 10, unajilima kitanzi, sa ulitaka nani anunue bando kipnd mnachat
 
Buku tu mkuu unalia namna hi?😄😄😄
 
Siyo ujinga, huyo mwanaume anayeona buku kubwa atulie na hamu zake kwani kalazimishwa kuwa malaya?

Kwamba mwanaume ambaye kwake buku ni kubwa hatakiwi hata kudindisha🤩🤩!! mamaee!! sasa mbona ni wanaume wengi sana tutakufa na vipururu!
 
Nakazia.... Sasa mtu pesa hana anatongoza mwanamke anafikiria yule mtu atatunzwa na nani???? Mambo ya kutaka kumiliki wanawake huku wanagongewa haya.....

Najua wapo wa anaetunzwa mke.... Nawajibu kabisa anaepaswa kuombwa mgegedo ni mke
Anaetunzwa ni mke

Kama sio mke atatunzwa na baba ake huko ni kuingilia majukumu yasituhusu ila wengi hawalielewi hili ni tamaa tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]hatari sana
Kwani nawewe buku ni kubwa kwako?

Mimi ni kapuku mmoja hivi ambaye ni jobless,hopeless,helpless,defenseless ninayeishi chini ya $1 usd per day.

Yaani hiyo buku kwangu ni matumizi ya siku nzima na chenji inabaki ya kahawa kesho hasubui. Sasa kwa mujibu wa Marianah watu kama mimi hatutakiwi kabisa kuwaza kwichi kwichii ndio niko hapa nawaza[emoji1562]‍♂️[emoji1562]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…