Nimepigwa chini na michepuko miwili kwa mpigo

Buzi Nene

Senior Member
Feb 10, 2020
139
310
Dah leo nimekuwa na siku mbaya sana,kuna michepuko yangu nilikuwa ninaipenda sana,leo imenipiga chini bila huruma,yani nimevurugwa sina raha kabisa, wife alinikaribisha chakula nimemzingua sana bila sababu naona kama ananifokea,yani nimeumia sana, natamani hata nimshirikishe wife anishauri, ila haya mapenzi yanauma jamani,msiwaseme vibaya wanaojinyonga!
 
We jamaa kiazi kweli, kwahiyo hasira zako za michepus unashindwa kujicontrol unafika nazo hadi nyumbani? Mbaya zaidi na mke unamfokea 😁 Mapenzi yanauma ndio, ila ukiwa ndezi yatakuumiza Mara mia...

Kunywa Espresso yako ukimaliza ukojoe ulale. G9t
 
Dah leo nimekuwa na siku mbaya sana,kuna michepuko yangu nilikuwa ninaipenda sana,leo imenipiga chini bila huruma,yani nimevurugwa sina raha kabisa, wife alinikaribisha chakula nimemzingua sana bila sababu naona kama ananifokea,yani nimeumia sana, natamani hata nimshirikishe wife anishauri, ila haya mapenzi yanauma jamani,msiwaseme vibaya wanaojinyonga!
Hahaha.....hayo nayo ni mafanikio. Tunapunguza gharama za uendeshaji.
 
We jamaa kiazi kweli, kwahiyo hasira zako za michepus unashindwa kujicontrol unafika nazo hadi nyumbani? Mbaya zaidi na mke unamfokea Mapenzi yanauma ndio, ila ukiwa ndezi yatakuumiza Mara mia...

Kunywa Espresso yako ukimaliza ukojoe ulale. G9t
Ni hasira tu,wife nampenda sana
 
Mi Nishaumizwa na mapenzi ile hari ikapelekea nikanywa!!!!

Mirinda Nyeus!!!! Ya Baridii
 
Badala uwe mpole kwa wife upoze maumivu naye unaona anakufokea😂, michepuko Ni ziada tu hata wakikuacha huna ulichopoteza.
 
Back
Top Bottom