Nimepigwa chini na michepuko miwili kwa mpigo

Dah leo nimekuwa na siku mbaya sana,kuna michepuko yangu nilikuwa ninaipenda sana,leo imenipiga chini bila huruma,yani nimevurugwa sina raha kabisa, wife alinikaribisha chakula nimemzingua sana bila sababu naona kama ananifokea,yani nimeumia sana, natamani hata nimshirikishe wife anishauri, ila haya mapenzi yanauma jamani,msiwaseme vibaya wanaojinyonga!
Duniani watu tunatofautiana priorities, ila ikiwa unaamua kuoa mke ndio priority yako inapokuja swala la mahusiano unless kama ulilazimishwa, inafikia point unajutia michepuko na una mke?? Tulia chini sana mkuu, mpende mke wako au muache usimtese mkuu
 
Ukiona hivyo maajabu huna.
Dah ila mtoto wa kiume ukiambiwa hv, lazima karoho kakuume atulie tu na mke wake hahaha ndio ajue anavumiliwa tu mke wake, analeta janja janja...ila jmn michepuko miwili na haijuani yotr isepe, maybe hana maajabu
 
Sababu ya kunipiga chini ni kwamba imejuana ikazinguana huko halafu wakahamia kwangu.
 
We jamaa kiazi kweli, kwahiyo hasira zako za michepus unashindwa kujicontrol unafika nazo hadi nyumbani? Mbaya zaidi na mke unamfokea Mapenzi yanauma ndio, ila ukiwa ndezi yatakuumiza Mara mia...

Kunywa Espresso yako ukimaliza ukojoe ulale. G9t
 
Yaan kabisa watu wanaumia na kulia kisa mapenzi? Au mie ndo sielewi.
Ushakua sugu, ila naamini yale mapenzi ya utoto ulishalia...now una akili na unatambua unaweza ishi bila mapenzi, ila mtu una miaka zaidi ya 27 au 30, bado unalilia mapenzi ni ujingaaa sanaa,
 
Ushakua sugu, ila naamini yale mapenzi ya utoto ulishalia...now una akili na unatambua unaweza ishi bila mapenzi, ila mtu una miaka zaidi ya 27 au 30, bado unalilia mapenzi ni ujingaaa sanaa,
Wee nae sasa khaaah, mtu asipoumia wala kulia kisa mapenzi ni sugu? Wengine mapenzi kwetu sio priority, na kuna maisha nje ya mapenzi.
 
Wee nae sasa khaaah, mtu asipoumia wala kulia kisa mapenzi ni sugu? Wengine mapenzi kwetu sio priority, na kuna maisha nje ya mapenzi.
Wanaolilia mapenzi wanakuwa na hormone imbalance

Huna haja ya kuwekeza moyo wako kwa mpenzi badala ya Mungu wa mbingu na nchi
 
MKUU,
ISHU NDOGO SANA HIYO.

WEKA NAMBA ZAO ZA SIMU HAPA ILI WANASAIKOLOJIA TUKUSAIDIE KUWAKONVISI ILI WOTE WAREJEE KWAKO NA WAKUOMBE MSAMAHA LEO.
 
Wee nae sasa khaaah, mtu asipoumia wala kulia kisa mapenzi ni sugu? Wengine mapenzi kwetu sio priority, na kuna maisha nje ya mapenzi.
Kama sio sugu okay, cocastic we maarufu MMU hata sibishani na ww utawaleta kina hearly hapa nitafute new id, hv sijui nije pm hata ule msosi flan leo mumy
 
Mtoa mada kwani haujawahi kula tunda kimasihara?
Iyo ndio mbinu nzuri kam hautosheki na mkeo
cocastic na hearly wanaelewa vema kuna wadogo zako uko wanakula tu tunda
Hadi wake wa mainjiania
Pengine hadi wako kaliwa sema haujui kuwa makini na mkeo achana na mchepuko
 
wee usinipe case please.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom