Unatumia kamera gani mkuu?kama na wewe umepiga picha nzuri na ikakuvutia share nasi.View attachment 729594
Mimi nimependa avatar yako mkuu
Hii siyo nzuri kuweka hapa. Badala ya kufurahi na kucheka tunaumia kumbuka wengine tuna watoto na wajukuu.
Mo town hapo,kama unashuka kwa mkuu wa mkoaLocation please View attachment 732867
Tanzania tuna vivutio vingi vya utalii. I bet haya ndiyo maporomoko marefu zaidi Tanzania ila huwezi kuyasikia.
View attachment 729617
braza Malcom Lumumba hivi kalambo falls kisheria yapo Tanzania au Zambia.
Tumebase sana kwenye utalii wa mbuga. Hayo kwenye picha ni marefu na yanapendeza sana. tungeyatangaza tusingokosa mia mbili mia tatu. Nahisi wakiyapima parts zake ni marefu kuliko Kalambo yanayosoma 230+Ninavyofahamu mimi haya maporomoko yako upande wa Tanzania katika kijiji cha Kapozwa Wilayani Kalambo ingawa ukiwa upande wa Zambia unayaona pia
Kinachotugharimu Tanzania ni kuchelewa kujenga miundombinu ingawa kwa sasa ngazi za kushuka hadi chini zinajengwa na zimefikia hatua nzuri.
Wenzetu upande wa pili walishajenga ngazi siku nyingi hivyo kufanya urahisi wa watalii kushuka hadi chini....Na hotel nzuri upande wa pili zipo za kutosha.