Upo wapi mzee baba???hapana mkuu. karibu tugonge hii kitu.View attachment 729603
Wapi hii?Tanzania tuna vivutio vingi vya utalii. I bet haya ndiyo maporomoko marefu zaidi Tanzania ila huwezi kuyasikia.
View attachment 729617
Mkuu wapi huko naona mahindi yamekubali hatari.Tanzania tuna vivutio vingi vya utalii. I bet haya ndiyo maporomoko marefu zaidi Tanzania ila huwezi kuyasikia.
View attachment 729617
Let us share togetherkama na wewe umepiga picha nzuri na ikakuvutia share nasi.View attachment 729594