Nimepewe urithi wangu mapema, nimechanganyikiwa

Nimepewe urithi wangu mapema, nimechanganyikiwa

Tuagize

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2021
Posts
244
Reaction score
590
Wakubwa Kwema?

Kama kichwa cha Habari kinavyoeleza hapo juu
Mimi ni kijana wa miaka 24, nimepewa Urithi wangu mapema kiasi cha milion 18 net.

Nimeambia hizo pesa nikizifanyia ujinga ndiyo basi tena nitakuwa sina kitu kwa mzee sasa nimewaza kununua hata kijumba cha milioni 14 nje ya Dar es Salaam hata cha vyumba viwili.

Halafu 4 inayobaki nijaribu kuitia kwenye biashara yoyote itakayoweza kuizalisha sasa wakuu napagawa kwa sababu sikujipanga nisaidie kwa lolote hiyo kwangu ndo karata ya mwisho
 
Kama mzazi ameweza kukupa mil 18 maana yake anao uwezo wa kuhamishia ujuzi alio nao ambao umemsaidia kumiliki mali kuja kwako.

Usichanganyikiwe kaa vizuri na mzee wako akupe uchochoro wa kupita.

Suala sio kuanzisha biasharam swala ni namna ya kulinda mali zako zisipotee
 
Bora wewe.
FB_IMG_16788722730052699.jpg
 
Wakubwa Kwema ?

Kama kichwa cha Habari kinavyoeleza hapo juu
Mimi ni kijana wa miaka 24, nimepewa Urithi wangu mapema kiasi cha milion 18 net

nimeambia hizo pesa nikizifanyia ujinga ndo basi tena nitakuwa sina kitu kwa mzee sasa nimewaza kununua hata kijumba cha milioni 14 nje ya Dar es salaam hata cha vyumba viwili

harafu 4 inayobaki nijaribu kuitia kwenye biashara yoyote itakayoweza kuizalisha sasa wakuu napagawa kwa sababu sikujipanga nisaidie kwa lolote hiyo kwangu ndo karata ya mwisho
Tuliza kichwa kwanza nunua hata kiwanja kikubwa cha 5m hata chanika au kibaha...5m inatosha kujenga nyumba ya rum 2
 
Wakubwa Kwema?

Kama kichwa cha Habari kinavyoeleza hapo juu
Mimi ni kijana wa miaka 24, nimepewa Urithi wangu mapema kiasi cha milion 18 net.

Nimeambia hizo pesa nikizifanyia ujinga ndiyo basi tena nitakuwa sina kitu kwa mzee sasa nimewaza kununua hata kijumba cha milioni 14 nje ya Dar es salaam hata cha vyumba viwili.

Halafu 4 inayobaki nijaribu kuitia kwenye biashara yoyote itakayoweza kuizalisha sasa wakuu napagawa kwa sababu sikujipanga nisaidie kwa lolote hiyo kwangu ndo karata ya mwisho
Nikupeleke kitambaa cheupe, ukapoteze kidogo mawazo na ufikirie mawazo mapya..

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom