Nimependana na mwanamke msomi

Nimependana na mwanamke msomi

Headache hao kaka! Wadada waliofika chuo 95% wametumika to the very highest point....! Then about game mshkuru Mungu kuna uwezekano anakuepusha na majanga! DONT TRUST A WOMAN EVEN IF SHE IS DEAD.
mkuu Mgibeon una maanisha nini hapo kwenye bold!
 
Last edited by a moderator:
Vumilia mkuu kama unampenda, maana waswahili husema mvumilivu hula mbivu.
 
Jamani hamjui kufanya Mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi?
Hahah vumilia tu
 
nimeamua kuvumilia na kuona mwisho wake utakuwaje
 
MZABZAB! Kipimo Cha Upendo Si Ngono,Bali Ni Maelewano Ya Wawili!
Cha Muhimu Jamaa Akomae,Tena Ikibidi Hasimkumbushe Mambo Ya Mbunye Kabisaaa...Mapenzi Ni Kama Game,Unaweza Kuta Jamaa Anajalibiwa(akiacha Nae Ataitwa Muogopaji Kama Wenzake),kama Demu Wake Hana Micharuko Na Wanaheshimiana...Hapo Akomae Tu!!

Miezi Miwili kelele?
HAUJAKUTANA NA VYUMA WEWE...WATU WANAHESABU MIAKA NA WANASONGA TU!!

kha !! miaka! sii ufala huo wewe. no nation has benefited from a prolonged warfare kaka.
hapa main issue ni kwamba huyu dada ni msomi na na wasi wasi kuwa later on conversation zao zitakuwa tofauti bwana. hawachelewi kukwambia kuwa ur conversation is boring.

kwweli ngono sio kipimo cha mapenzi. pia ni muhimu kutambua kuwa kudu ni sehemu muhimu ya mapenzi...sasa wamnyima wat do u expect of him? to become a master of masturbation?
 
nifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?

anakuchuna mkuu
achana nae
fanya kitu kingne cha manufaa
 
Angalia moyo wako unasemaje,km unampenda kweli vumulia km ulikuwa unatest zali we chapa lapa tu maana hiyo si sehemu yako.
 
yakupasa kua mvumilivu na watu wengi wanawaogopa wanawake wasomi haswa mwanaume akiwa anaelim kidogo kuliko mwanamke kua kama mwanaume bwana chamsingi ni kua na amani katika maisha yako na kujiamini kua unaweza na mwenza wako anapo kosea mwambie usiogope kua yeye ni msomi hayo yalikua mambo ya kizaman ukimuona polisi unakimbia kujificha au mtu amevaa miwanai unaogopA YULE NI MSOMI SANA NITAONGEA NAYE NINI ACHANA NA ITIKADI IZO MUONE KAMA WANAWAKE WENGINE 2 NAKUTAKIA MAISHA MEMA NA MAHUSIANO MAZURI YA BILA WOGA
 
rafiki yake aliniambia wanaume wanamwogopa,hilo swala linanichanganya kwa nini aogopwe na wanaume?

kawaida sana,
""TARAKIMU Zinaonesha hivi kwa MWANAUME ANAVYOZIDI KWENDA JUU KIMASOMO(KAZI) NDIVYO CHANCE YA KUPATA MWENZA INAKUWA KUBWA, TOFAUTI NA MWANAMKE CHANCE YA KUPATA MWENZA INAKUWA FINYU ZAIDI""
 
Nifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?

mkuu episodes sio wote maharaghe ya mbeya ndugu,usiwe na haraka hivyo.pia usomi sio lolote bora awe anatimiza wajibu wake kama mwanamke kwa kukujali.
 
Last edited by a moderator:
ndugu ndo matatizo ya kuwa na mwanamke ambaye amekuzid elimu tafakari hapo bado hajafunga pingu za maisha unateseka hivyo mkishafunga itakuwaje ..kaa naye mweleze ukweli asipobadilika chukua maamuzi mazito bora kuumia siku kuliko kuumizwa kila siku.ntafute kwenye pm.
 
MBINU zko ni za KIWANGO cha chini, Mbona Kawaida Sana Kupewa UCHI mapema, Nahisi Hujaamua tuu..SIMBA MKALI NA BADO ANAKUBALI KUZALISHWA SEMBUSE VIUMBE hao ambao ni DHAIFU
 
rafiki yake aliniambia wanaume wanamwogopa,hilo swala linanichanganya kwa nini aogopwe na wanaume?
Huenda ni kutokana na msimamo wake au usomi wake,ila sanasana msimamo wake coz unakuta wengi wasomi ila wanaume wanamuaproach kila kukicha kutokana na uhaba wa msimamo imara.
 
Back
Top Bottom