Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,717
- 3,683
Mvumilivu hula mbivu
Acha kabisa maneno haya> hii ilikuwa zamani sio sasa ww!
Hivi hujui misemo ya leo..........
1. Aliye juu mfuate huko huko
2. Mvumilivu atangija mpaka kifo kimpate
Weeeeee tena acha kabisa maneno hayo utaniudhi sasa hivi