Nimependana na mwanamke msomi

Nimependana na mwanamke msomi

kaka jiamini, anakupenda we endelea boresha penzi, wadada mapenzi huingia taratibu n they neva rush to sex, wen it comes to love they don care who u r hata kama umemaliza la saba as long as umuonyeshe kumpenda na kumjali,its enafffff
 
Mkuu episodes achana na huyo msomi atakusumbua sana na kielimu chake,hapo ni dharau mtindo mmoja!!
 
Ugonjwa huu mbaya sana

"inferiority complex"
 
Nifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?

I am tight lipped! Naogopa kusema mdomo wangu hapa umekuwa mzito kama zege!
 
Mpige chini.
Mkuu ushauri wako mbovu
Nyie ndio msiojua kupenda wala kuvumilia yaani mnataka mkitongoza mkubaliwe haraka mfunue nakufunika hii style mpaka lini jamani dunia imeishaa.. try 2 learn how love nakuwa wavumilivu pindi tunapopenda kweli, kwani easy come easy go.
Chochote unachokihangaikia mda mrefu utakidhamini na kukitunza na kamwe hutakuwa teyari kukipoteza kirahisi hata kwa madada zetu waga tunaanza sisi kusota inapofika zamu yao hupenda maradufu nakumaanisha zaidi yetu sisi wababaishaji.
So kama unampenda kweli na kwa dhati komaa kwani ngono sio mapenzi ya kweli bali ni part ya mapenzi kuthibitisha tu ukidume wako.
Hope umenisoma fika
Watu wamefukuzia wapenzi wao miaka miwili bila kumega sembuse ww mwenye speed za ngono na matakwa yako binafsi.
 
miezi miwili hajakupa mbunye tuu...ah huyo hafai tena mwanabora ujisepe zako tuu. alafu wanawake wasomi zero kwnye mapenzi....chukua wa level yako mwaya. huyo baadae hachelewi kusema oh u dnt stiimulate me intellectually.....ndio unabwagwa hapo.
 
headache hao kaka! Wadada waliofika chuo 95% wametumika to the very highest point....! Then about game mshkuru mungu kuna uwezekano anakuepusha na majanga! Dont trust a woman even if she is dead.

dont trust a woman even if she is dead.
 
Nifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?

What is important is true love. Naona huna mapenzi ya kweli wewe ndo maana huyo msomi amekusoma amekuona huna true love.
 
rafiki yake aliniambia wanaume wanamwogopa,hilo swala linanichanganya kwa nini aogopwe na wanaume?

Kwa sababu hao wanaume hawajui walitendalo....uoga wako ndo umasikini wako...wanamuogopa amekuwa simba?wewe umeshakaa naye na kumtathmini tabia yake na kila kitu...bado unasubiri kuamviwa na third part?
 
Acha uoga wewe, kuwa mvumilivu usiwe na papara ya kufanya mapenzi.
 
Nifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?

Episodes unaonekana umeshaanza kuwa na inferiority complex kitu ambacho si kizuri sana. Kikubwa jiamini kwani mwanamume ni mwanamume tu hata awe hajasoma anabaki kuwa kichwa. Na nnavyoona huyo mdada amekupenda kweli ila anakupima uvumilivu wako , maana wanaume wengi sikuizi wamekua matapeli wakishapewa chini wanalala mbele, so kama uko serious nae mvumilie, pimeni afya, na uwe serious na kitu unacho muahidi, utaenjoy nakwambia.
 
miezi miwili hajakupa mbunye tuu...ah huyo hafai tena mwanabora ujisepe zako tuu. alafu wanawake wasomi zero kwnye mapenzi....chukua wa level yako mwaya. huyo baadae hachelewi kusema oh u dnt stiimulate me intellectually.....ndio unabwagwa hapo.

MZABZAB! Kipimo Cha Upendo Si Ngono,Bali Ni Maelewano Ya Wawili!
Cha Muhimu Jamaa Akomae,Tena Ikibidi Hasimkumbushe Mambo Ya Mbunye Kabisaaa...Mapenzi Ni Kama Game,Unaweza Kuta Jamaa Anajalibiwa(akiacha Nae Ataitwa Muogopaji Kama Wenzake),kama Demu Wake Hana Micharuko Na Wanaheshimiana...Hapo Akomae Tu!!

Miezi Miwili kelele?
HAUJAKUTANA NA VYUMA WEWE...WATU WANAHESABU MIAKA NA WANASONGA TU!!
 
kutwa wanawake wasomi wasomi, hapo hapo hahawaachi.
wanapenda ati kuwa in the reference list zao!ahahahahhahaa msomi wamtaka huku wahofia jikofia la graduu kwenye fremu sebuleni?
KOMAENI NAO TUU!af ni bonge ya wake wa kuweka ndani hawajui tu!tatizo HOF,DHOFKHAL!!
 
Back
Top Bottom