Nimependa namna alivyoniacha

Nimependa namna alivyoniacha

Unataka nimwambie "sijisikii kuendelea na haya mashusiano" kesho na keshokutwa nikitaka kupasha kiporo naanzia wap[emoji23]

Nop[emoji23][emoji119]
Wewe ni mzinzi na hauna akili.
Yaani umwache mtu ambaye alikuwa wako halafu baadae ukapashe kiporo kama mchepuko.

Yaani ukaibe kwa mtu aliyekuwa wakwako na unajisifu kabisa.
Acha tamaa na uasherati. Umenielewa?
 
We mdada umechanganyika eti[emoji23]

Kwamba niache kuchakata[emoji1787]

Uzinzi ni kweli

Ila akili hapan, ninazo, nyingi
 
Umeachwa umeachwa umeachwa tenaaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Pole sana.
Sema unatia huruma masikini [emoji1787][emoji1787]
Usikute najibizana na mtu yuko period [emoji23]
 
We mdada umechanganyika eti[emoji23]

Kwamba niache kuchakata[emoji1787]

Uzinzi ni kweli

Ila akili hapan, ninazo, nyingi
Sawa endelea na uasherati wako ila acha kuchezea hisia za wanawake. Umenielewa wewe mzinzi?
 
Sawa endelea na uasherati wako ila acha kuchezea hisia za wanawake. Umenielewa wewe mzinzi?
Kwahiyo wewe hauzini?

Isije kuwa unataka kunitoa kijiti jichoni mwangu na kuna kipande cha boriti jichoni mwako
 
Kwahiyo wewe hauzini?

Isije kuwa unataka kunitoa kijiti jichoni mwangu na kuna kipande cha boriti jichoni mwako
Mimi sizini nafanya mapenzi na mpenzi wangu. Ila wewe ni mzinzi na muasherati ila kubwa zaidi you are a homewrecker. Unaachana na mtu unasubiri awe mpenzi wa mtu ili upeleke pepo lako la uasherati ukapashe kiporo.

Badilika karma is really.
 
Hongera

Una uhakika huyo mpenzi wako hazini?
 
Mkuu naunga hoja mkono achana na hayo wenye makasiriko me mwenyew ndio mbinu yangu
 
Hiyo inaitwa "ghosting",,, Yaani unamuacha mtu kimya kimya mpaka anjistukia na kuamua kujiongeza mwenyewe.

Ila ukitaka ufanikishe Hili vizuri hakikisha umepata mwanamke mwingine na amekuelewa.
 
Wanawake inabid wajue kwamba wanaume wanatakiwa waheshimiwe tu sio kupendwa! Mwanamke akikupenda sana inaboa maana atakuwa kila mda anahitaji mda wako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom