Nimependa namna alivyoniacha

Nimependa namna alivyoniacha

Out there wakuuuu

Nilikuwa na mpenzi wangu huyu binti mmoja swaafi, mambo yalikuwa ni moto[emoji91][emoji91][emoji91],, mpaka kama miezi miwili hapo nyuma mimi nilivoanza kuzingua

Nilichozingua ni mawasiliano, nilikuwa simtafuti na yeye akinitafuta mara nyingine sms sijubu na simu sipokei mara nyingine

Sababu sitaki kusema kwamba nilimchoka, ila nilijikuta tu ghafla sitaki kuanza kumuwaza mtoto wa mtu, simu za usiku sijui, mambo ya upo wapi, i wanted to be left alone

Nikahisi ili tatizo wenda ni kwasababu namwona Kila siku ikabidi nimkwepe kama wiki hivi, naona ndo kwanza namsahau, nimekaa mwezi sijaonana nae lakini ndo kwanza nakuwa na amani.

Nilikuja na majibu kwamba nisimpotezee mda mdada wa watu na nisibanie riziki wauni, ngoja tuachane mdogo mdogo kama Barnabas na dem wake gani sijui.

Njia ya kuachana nikaona nimkalie kimyaaa tu atajiongeza, bahati nzuri sijui mbaya au sijui alikuwa ananisubiri tu nijichanganye, baada ya efforts nyingi sana za kunitafuta na mimi kupotezea na yeye akaamua akae kimya, nikasema sawaaaa.

Umepita mwezi tangu nipokee sms yake ya mwisho leo binti ame-update status ya mpenzi wake ambaye sio mimi na makopa kopa yakutoshaaaaaa.

Nilichopenda,,,,,,

-Hakuna maneno
-Hakuna ugomvi
-Hakuna vijembe
-Hakuna cha ulinichezeaaa
-Hakuna cha ulinipotezea muda

Binti wa watu ka-move on maisha yanaendelea

#Usichukulie poa, ukiachwa achika.
Nadhan tuna kesi sawa
 
.....nafikiri kama hamkugombana ingekua poa yani ile ki-gentlteman kama ungemueleza shida ni nini na kwa nini mpeane nafasi, then kama angekuwa king'ang'anizi ndo ungeamua ku-mute, hapo ungemsaidia hata yeye kujirekebisha kwenye mahusiano mapya....vinginevyo mtu anaweza kuhisi ali-date na zezeta....
 
You are a worthless coward. Ungemwambia fanya kushika njia zako story yetu iishie hapa.

Ndiyo she deserved an explanation lakini kwakuwa wewe ni fala mmoja mwoga unashindwa hata kumface mtu na kumwambia ukweli unajificha ficha kama mhalifu wa ubakaji.
 
Sasa uwezi amini mi nilimfanyia ivo binti wa watu kumbe alikuwa anateseka kisaikolojia, alikuja akanitafuta mbona unaikalia kimya nambie ukwel nijue nikamchna live mi bana naona tupumzike nataman tu kuwa mwenyewe binti aliliaa siku mbenbeleza ata,

Ikapita miezi na miezi nikamtext heri ya mwaka mpya picha likaanza upyaa nikamwomba msamaha mimi tukaendelea tulipoishia na alikuwa kashapata bwana sijui anaenda china uko n.k, ila nikampa attention adi kesho ni yamoto, ko uyo ukimmisimtafute unamla vizuri tu
 
There was nothing wrong with her so sikuona haja ya kumpa mashairi ya "promise me you'll be ok"
 
You are a worthless coward. Ungemwambia fanya kushika njia zako story yetu iishie hapa.

Ndiyo she deserved an explanation lakini kwakuwa wewe ni fala mmoja mwoga unashindwa hata kumface mtu na kumwambia ukweli unajificha ficha kama mhalifu wa ubakaji.
Hayo matusi ya nini sasa

Kumface? unahisi nilitongozewa?

Mtu nimemvua chupi more than once namuogopea nn?
 
Sasa uwezi amini mi nilimfanyia ivo binti wa watu kumbe alikuwa anateseka kisaikolojia, alikuja akanitafuta mbona unaikalia kimya nambie ukwel nijue nikamchna live mi bana naona tupumzike nataman tu kuwa mwenyewe binti aliliaa siku mbenbeleza ata,

Ikapita miezi na miezi nikamtext heri ya mwaka mpya picha likaanza upyaa nikamwomba msamaha mimi tukaendelea tulipoishia na alikuwa kashapata bwana sijui anaenda china uko n.k, ila nikampa attention adi kesho ni yamoto, ko uyo ukimmisimtafute unamla vizuri tu
Nomaaa[emoji91][emoji23]

Tutaangalia uko mbelen, but for the time being no feelings at all
 
Mpaka umeanzisha threadi ni kama unaumia vile…
Tatizo mkitamkiwa uhuru pia mnachukia sana.
Niliwahi mwambia mtu....naomba nisikypotezee muda akija mtu siriaz wa kukuweka ndani kuwa huru.
Nilichukiwa hadi leo
 
Kumwambia ukweli ni kitu kimoja na kuchukiwa ni kitu kingine kaka yangu
Kama ungekaa kimya angekupenda kwani?
 
Sasa sijui lipi ni jema Darlin
Nahisi kukaa kimya ni kumuweka njia panda
Lakini kumwambia ukweli ni bora zaidi ili ajue lakufanya
 
I simply opted to,

Kwa sabab ni rahisi zaidi kwake, Kwa faida yak
 
Hamna tusi hapo. I am just calling a spade a spade .
Kwanini usimwambie ukweli kama wewe sio coward?
I simply opted to,

Kwa sabab ni rahisi zaidi kwake, Kwa faida yak
 
I simply opted to,

Kwa sabab ni rahisi zaidi kwake, Kwa faida yak
Hivi unajua inawazisha kiasi gani mtu kukukalia kimya bila kukupa sababu ya kukaa kimya? Unajua mtu anakuwa anajiuliza maswali gani?

1. Nimemkosea nini?
2. Ni kipi amekiona kwangu cha tofauti?
3. Kwanini asiniambie ukweli?
Hivi unajua maswali y namna hiyo yanaumiza kiasi gani? Haujui eeh? Sasa kutokujua sababu ya kukaliwa kimya kunauma kuliko kuachwa.

Umeelewa? Badilika acha kucheza na hisia za watu halafu unakuja unajisifia sifia hapa kama vile umefanya cha maana.
 
Out there wakuuuu

Nilikuwa na mpenzi wangu huyu binti mmoja swaafi, mambo yalikuwa ni moto[emoji91][emoji91][emoji91],, mpaka kama miezi miwili hapo nyuma mimi nilivoanza kuzingua

Nilichozingua ni mawasiliano, nilikuwa simtafuti na yeye akinitafuta mara nyingine sms sijubu na simu sipokei mara nyingine

Sababu sitaki kusema kwamba nilimchoka, ila nilijikuta tu ghafla sitaki kuanza kumuwaza mtoto wa mtu, simu za usiku sijui, mambo ya upo wapi, i wanted to be left alone

Nikahisi ili tatizo wenda ni kwasababu namwona Kila siku ikabidi nimkwepe kama wiki hivi, naona ndo kwanza namsahau, nimekaa mwezi sijaonana nae lakini ndo kwanza nakuwa na amani.

Nilikuja na majibu kwamba nisimpotezee mda mdada wa watu na nisibanie riziki wauni, ngoja tuachane mdogo mdogo kama Barnabas na dem wake gani sijui.

Njia ya kuachana nikaona nimkalie kimyaaa tu atajiongeza, bahati nzuri sijui mbaya au sijui alikuwa ananisubiri tu nijichanganye, baada ya efforts nyingi sana za kunitafuta na mimi kupotezea na yeye akaamua akae kimya, nikasema sawaaaa.

Umepita mwezi tangu nipokee sms yake ya mwisho leo binti ame-update status ya mpenzi wake ambaye sio mimi na makopa kopa yakutoshaaaaaa.

Nilichopenda,,,,,,

-Hakuna maneno
-Hakuna ugomvi
-Hakuna vijembe
-Hakuna cha ulinichezeaaa
-Hakuna cha ulinipotezea muda

Binti wa watu ka-move on maisha yanaendelea

#Usichukulie poa, ukiachwa achika.
Ulikua wa ziada🤣🤣🤣🤣🤣
Pole sana
 
Hivi unajua inawazisha kiasi gani mtu kukukalia kimya bila kukupa sababu ya kukaa kimya? Unajua mtu anakuwa anajiuliza maswali gani?

1. Nimemkosea nini?
2. Ni kipi amekiona kwangu cha tofauti?
3. Kwanini asiniambie ukweli?
Hivi unajua maswali y namna hiyo yanaumiza kiasi gani? Haujui eeh? Sasa kutokujua sababu ya kukaliwa kimya kunauma kuliko kuachwa.

Umeelewa? Badilika acha kucheza na hisia za watu halafu unakuja unajisifia sifia hapa kama vile umefanya cha maana.
Unataka nimwambie "sijisikii kuendelea na haya mashusiano" kesho na keshokutwa nikitaka kupasha kiporo naanzia wap[emoji23]

Nop[emoji23][emoji119]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom