Nimependa namna alivyoniacha

Nimependa namna alivyoniacha

Mtu kama wewe nakusubiri a siku ukirudi.nakusogeza karibu ukijaa nakupiga nyundo ambayo najua fika ni lazima ikuume.

Ustaarabu ni kumwambia mtu naona tuishie hapa na sio kumtesa mtoto wa watu bila sababu
 
Kuna tofauti kati ya kutelekezana na kuachana,

ukiniacha ukirudi hutonikuta

Nikikuacha usitegemee ntarudi

Tofauti ya kumwambia mtu na kukaa kimya ni moja tu, kwamba ukikaa kimya ujumbe utachelewa kumfikia mi nilichagua kukaa kimya
 
Kwa ujasiri kabisa unajivuna kuacha, lakini kumbuka leo kwake kesho kwako.

Usisahau kuleta malalamishi yako hapa.
 
Kuna tofauti kati ya kutelekezana na kuachana,

ukiniacha ukirudi hutonikuta

Nikikuacha usitegemee ntarudi

Tofauti ya kumwambia mtu na kukaa kimya ni moja tu, kwamba ukikaa kimya ujumbe utachelewa kumfikia mi nilichagua kukaa kimya
Unajichanganya kwenye mwandiko mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom