ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,115
Unafikiri Lowassa angeenda cdm bila Regina kukubali? Unaongelea nini? For every successful man there is a strong woman behind. Women run this world my friend!Msimamo uliopo sasa si wake bali ni wa mkewe,Hii ni aibu sana kwa familia za kiafrika.
Slaa anasikitisha. Mwanamme wa kweli huwa anakuwa mgumu, hii mambo ya kununa nuna, kuzira zira, kulia lia kama Pinda aachie wanawakeKama kuna kosa chadema watalijutia ni kumfanya lowasa mgombea wao wa urais. Maadili tuliyosimamia tumeyatupa chooni na kuwakatisha tamaa wanachama na wadau wengi mimi nikiwemo. Chama sasa hakina tofauti na ccm kwa uchafu na sasa imedhihirika kuwa ni Dr Slaa tu ndiye aliyeamini katika uadilifu ndani ya chama. Viongozi wengine kumbe wako kimslahi zaidi na hawakumbuki wahanga waliouawa na kuumizwa na polisi kwa kuunga mkono chadema wakiamini ni mkombozi wao. Sasa kimepokea wale mafisadi papa ambao hata chama chao hakiwataki! Tumekata tamaa. Pole Dr Slaa lkn Mungu yuko na atatunusuru.
wewe ni gamba acha uongoKama kuna kosa chadema watalijutia ni kumfanya lowasa mgombea wao wa urais. Maadili tuliyosimamia tumeyatupa chooni na kuwakatisha tamaa wanachama na wadau wengi mimi nikiwemo. Chama sasa hakina tofauti na ccm kwa uchafu na sasa imedhihirika kuwa ni Dr Slaa tu ndiye aliyeamini katika uadilifu ndani ya chama. Viongozi wengine kumbe wako kimslahi zaidi na hawakumbuki wahanga waliouawa na kuumizwa na polisi kwa kuunga mkono chadema wakiamini ni mkombozi wao. Sasa kimepokea wale mafisadi papa ambao hata chama chao hakiwataki! Tumekata tamaa. Pole Dr Slaa lkn Mungu yuko na atatunusuru.
...leo hata manungayembe yanajifanya wanachama wa cdm. sisi waandamizi tunaimani na viongozi wetu na tunaimani na rais wetu lowasa, go go go lowasa go push it kitaeleweka tu....
...leo hata manungayembe yanajifanya wanachama wa cdm. sisi waandamizi tunaimani na viongozi wetu na tunaimani na rais wetu lowasa, go go go lowasa go push it kitaeleweka tu....
Kama kuna kosa chadema watalijutia ni kumfanya lowasa mgombea wao wa urais. Maadili tuliyosimamia tumeyatupa chooni na kuwakatisha tamaa wanachama na wadau wengi mimi nikiwemo. Chama sasa hakina tofauti na ccm kwa uchafu na sasa imedhihirika kuwa ni Dr Slaa tu ndiye aliyeamini katika uadilifu ndani ya chama. Viongozi wengine kumbe wako kimslahi zaidi na hawakumbuki wahanga waliouawa na kuumizwa na polisi kwa kuunga mkono chadema wakiamini ni mkombozi wao. Sasa kimepokea wale mafisadi papa ambao hata chama chao hakiwataki! Tumekata tamaa. Pole Dr Slaa lkn Mungu yuko na atatunusuru.

Sasa hivi mnatumia nguvu nyingi sana kuwaaminisha watanzania eti Lowassa ni msafi lakini kamwe na hamtaeleweka, itawasumbua sana hii na mtapata shida kubwa sana