Nimependa Kibajaji cha Ulaya

Nimependa Kibajaji cha Ulaya

540497_292548960824687_169393463140238_668058_54736605_n.jpg

Kumbe ndo bajaj hizi alizomaanisha dhaifu(JK) kwenye kampeni! na alisema atazisambaza nchi nzima, tutapona kweli?
 
Zomba vipi tena? Naona umeanza KUOKOKA na kuingia dini ya BOFLO.

Bofloooooo........................
 
dada zetu wakiona tu hicho "kibajaji" wataiga!! watu watatafutana
 
hahahahaaaaa zomba bhana, jana umechafua hali ya hewa kule kwa jukwaa la siasa leo umeibukia huku. Au ni matangazo baada ya habari?

salute mkuu!!!!!

Inspired by Boflo
 
Last edited by a moderator:
Zomba kama Bofloo, hata mimi nimeipenda Bajaji
hiyo, ningeipeleka Makandana Tukuyu ikafanyiwe
kazi!!
 
Back
Top Bottom