Nimependa concept ya CHADEMA ya Bunge la Wananchi

Nimependa concept ya CHADEMA ya Bunge la Wananchi

Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao.

1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja.

2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa serikali kwa uwazi.

3. Litakuwa na uwezo wa kuleta bajeti mbadala.

4. Litakuwa na uwezo wa kuishauri serikali kwa uwazi.

Nawapongeza chadema kwa ubunifu huu.
The akili kubwazi
 
HONGERA SANA CHADEMA KWA BUNGE LA WANANCHI
 
Wamechanganyikiwa
Huko siko kuchanganyikiwa ndugu Robert S Gulenga....!!

Sema hivi, "..mimi Robert S Gulenga , ni mjinga sijaelewa hawa watu wana maana gani naomba nitolewe ujinga wangu..." ili ueleweshwe nini maana ya political move ya namna hiyo...

Ngoja tukueleweshe..

Iko hivi. Ukifunga mlango huu wa kupitia mwenzako ili afe kwa kukosa hewa, tambua kabisa kuwa, upo mlango mwingine usioujua wewe utafunguka na atapitia hapo na kwenda zake...!!

Mfano siku hizi kuna kitu kinaitwa "Clubhouses" huko twitter, Instagram, FB, YouTube etc. Wapinzani wa CCM wanatumia fursa ya kukua kwa teknolojia ya mawasiliano kufanya siasa bomozi (destructive politics) dhidi ya CCM na serikali yake balaa huku CCM wenyewe wakiwa wameshavimbiwa madaraka na kulala usingizi wa fofofo wakiwa wameweka tumaini la uhai na uwepo wao kama chama cha siasa mikononi mwa polisi na UWT pekee...

Na Clubhouses hizi zinazoendesha mijadala moto ya kisiasa inayopendwa na watu wa kada zote za kijamii vijana kwa wazee na zimekuwa vyanzo vikubwa vya habari kwa vyombo vya habari vingi hususani vile vinavyoitwa "mainstreams" i.e magazeti, radio na TV stations..

Aidha, hizi clubhouse za mijadala motomoto ya siasa na utawala wa nchi yetu zimekuwa vyanzo vya ajira kwa vijana wengi na zinawapatia fedha....

Najua utauliza kivipi zinatoa ajira kwa vijana..?

Iko hivi: Vijana wengine wamefungua YouTube channels na hutumia channels zao kuposti mijadala hii na kupata subscribers na viewers wa kutosha na wao kuingiza pesa..

Na mtu anayependwa sana kutazamwa na kusikilizwa ni Rais wa mioyo ya Watanzania Tundu Antipas Mughway Lissu. Na huyu jamaa hupiga nyundo za kufa mtu dhidi ya CCM na serikali yao. Na pia hutoa elimu maridhawa ya URAIA, SHERIA, KATIBA na HAKI ZA BINADAMU...

The guy is absolutely fantastic and a good teacher...

Na bahati mbaya sana kwa CCM ni kuwa, baadhi yenu huko hutoa siri za chama na serikali yenu na kuwapatia wapinzani hususani CHADEMA na kisha kuzimwaga kupitia mijadala ndani ya Clubhouses hizi...

Sasa kuna hiki kitu kinachoitwa "BUNGE LA WANANCHI". Nakuhakikishia, This is the political creativity of high standards toka kwa CHADEMA na hili bunge litafuatiliwa na watu wengi balaa kuliko Bunge la ma-CCM huko Dodoma...!!

Na kile mlichodhani mmekizuia kupitia mikutano ya hadhara ya kisiasa, sasa kinakwenda kuanza kufanyika bila hata chenga ya macho na kuleta political damage kubwa dhidi yenu CCM kuliko mnavyoweza kufikiri...

The only alternative option CCM waliyonayo sasa kuzuia damage inayokuja mbele yao ni KUZIMA INTERNET NCHI NZIMA na mkifanya hivyo, mtathibitisha rasmi UJINGA na UWOGA wenu mlionao...!!

Hopefully, umeelewa. Na kama una swali, niulize...
 
Huko siko kuchanganyikiwa ndugu Robert S Gulenga....!!

Sema hivi, "..mimi Robert S Gulenga , ni mjinga sijaelewa hawa watu wana maana gani naomba nitolewe ujinga wangu..." ili ueleweshwe nini maana ya political move ya namna hiyo...

Ngoja tukueleweshe..

Iko hivi. Ukifunga mlango huu wa kupitia mwenzako, tambua kabisa kuwa, upo mlango mwingine usioujua wewe utafunguka na atapitia hapo na kwenda zake...!!

Mfano siku hizi kuna kitu kinaitwa "Clubhouses" huko twitter, Instagram, FB, YouTube etc. Wapinzani wa CCM wanatumia fursa hiyo kufanya siasa bomozi (destructive politics) dhidi ya CCM na serikali yake balaa huku wenyewe hao CCM wakiwa wamelala huku tumaini la uhai na uwepo wao ukiwa mikononi mwa polisi na UWT pekee...

Na Clubhouses hizi zinazoendesha mijadala moto ya kisiasa zinapendwa na watu wa kada zote za kijamii vijana kwa wazee na zimekuwa vyanzo vikubwa vya habari kwa vyombo vya habari vingi hususani vile vinazoitwa "mainstreams" i.e magazeti, radio na TV stations..

Aidha, hizi clubhouse za mijadala motomoto ya siasa na utawala wa nchi yetu zimekuwa vyanzo vya ajira kwa vijana wengi na zinawapatia fedha....

Najua utauliza kivipi zinatoa ajira kwa vijana..?

Iko hivi: Vijana wengine wamefungua YouTube channels na hutumia channels zao kuposti mijadala hii na kupata subscribers na viewers wa kutosha na wao kuingiza pesa..

Na mtu anayependwa kutazamwa na kusikilizwa sana ni Rais wa mioyo ya Watanzania Tundu Lissu. Na huyu jamaa hupiga nyundo za kufa mtu dhidi ya CCM na serikali yao...

Na bahati kwa CCM ni kubwa, baadhi hutoa siri za chama na serikali na kuwapatia wapinzani hususani CHADEMA na kisha kuzimwaga kupitia mijadala ndani ya Clubhouses hizi...

Sasa kuna hiki kitu kinachoitwa "BUNGE LA WANANCHI". Nakuhakikishia, This is the creativity of high standards toka kwa CHADEMA na litafuatiliwa kuliko Bunge la ma-CCM huko Dodoma...!!

Na kile mlichodhani mmekizuia kupitia mikutano ya hadhara ya kisiasa, sasa kinakwenda kuanza kufanyika bila hata chenga ya macho...

The only alternative option CCM waliyonayo sasa kuzuia damage inayokuja mbele ni KUZIMA INTERNET NCHI NZIMA na mkifanya hivyo, mtathibitisha rasmi UJINGA na UWOGA wenu mlionao...!!

Hopefully, umeelewa. Na kama una swali, niulize...
Asante sana Mkuu
 
Back
Top Bottom