Nimepatwa na Majonzi, maombi ya Uchaguzi Zanzibar

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
541
leo kijana wangu kanitumia hii clip, to be honest i cried...mi sio wa huko ila kwa binadamu yeyote mwenye moyo wa nyama lazma ataingiwa na imani.

pia sikuwahi ona waislam wakisali this much....its my first time. Mungu awasaidi ndugu zetu.

Leo nimeamini mungu ni mmoja,zamani niliamini wanaolia ibadani ni walokole peke yake,machozi hayayanaweza kuleta laana kwa mustakabali wa nchi,ipo haja kukaa chini na kutafakari upya dhidi ya malalamiko haya,..muombaji yupo sawa,kama nyumba ya mungu imenajisiwa basi laana na lawama iende kwa walioamuru...mungu.hadhihakiwi na yupo kwa ajili ya wote
 
MwenyeziMungu huangalia ndani ya mioyo ya watu kuna nini na makusudi gani na agenda gani ya siri wako nayo.

Ukiona wamelia hivyo na Mungu asiwajibu ujue wana mioyo michafu iliyojaa hila ndio maana hakujibu.

Kama ni kulia hata Tanzania bara watu walikesha kumwombea Lowasa na kufunga na kuomba na kulaani CCM lakini MUNGU ajuaye yaliyojificha ndani ya moyo wa Lowasa na genge lake HAKUJIBU MAOMBI YAO AKAYATUPILIA MBALI
 
sio siri ndugu yangu ulichoandika hapa kinadhihilisha wewe ni TAHIRA
 
MwenyeziMungu huangalia ndani ya mioyo ya watu kuna nini na makusudi gani na agenda gani ya siri wako nayo.

Ukiona wamelia hivyo na Mungu asiwajibu ujue wana mioyo michafu iliyojaa hila ndio maana hakujibu.

Kama ni kulia hata Tanzania bara watu walikesha kumwombea Lowasa na kufunga na kuomba na kulaani CCM lakini MUNGU ajuaye yaliyojificha ndani ya moyo wa Lowasa na genge lake HAKUJIBU MAOMBI YAO AKAYATUPILIA MBALI
pamoja na kupewa mkoa bado unataka uwaziri ili msukuma mwenzio aliyepachikwa na TISS akupe uwaziri akili zako zimejengwa kwa kujipendekeza huna akili hata moja ya maisha Zaidi ya kuenda kuonyesha thread unazoandika kwa wanaokupa vyeo huna maisha no wonder nchi haiendi popote mumeanza kula matapshi yenu lugha munabadilisha kutoa macho kumekwisha maana mumeishiwa maono yakupeleka nchi mbele mulidhani kuendesha nchi ni kupiga makelele uozo mtupu
 
Ndugu zetu Mungu awasimamie atawapa heri na neema haijawahi kutokea dhuluma ikatamalaki na ole wao wote wanaowatawala wazanzibari kama koloni Mkakapa Kikwete Kinana Shein,Iddi Vuai Jecha Magufli, Samia,Lubuva January Makamba kiama chao hakiko mbali na laana ya Mungu ii juu ya vichwa na mioyo yao vizazi na vizazi vyao machozi yenu mungu anawasikia
 
Basi laana na hukhum ya mwenyezi Mungu impate yule aliye ruhusu dhuluma hii kufanyika.Amen
 
inatia uchungu

inatia simanzi

viongozi wetu wawe na busara na hekima kufikia maamuzi sahihi
Inaumiza sana! Jamaa wanalia kwamba Hawana namna nyingine! Kuna mahali Shekh kasema wapo tayari kufa! Hakyamama hili halitopita Hivi Hivi! Kuna wale 46 Huku bara wao wanaona mambo yako shwari tu! Ningekua Shein ningejiuzuru tu kuepuka Laana Na hatia ya Damu! Mungu yupo, Na akiitwa kwa haki hua anaitika,
 
Back
Top Bottom