Nimepatikana!

Nimepatikana!

Ulikosea kuchanga karata lazima uliwe
 
pole ckukusudia kukuuzi...nilihitaj ushaur wako tu(samahani kama nmekuudhi)

Usijali, tumeshawazoea wajukuu.

Ila jitahidi kujifunza jinsi ya kubadilika kutoka kwenye hatua ya utoto/ununda hadi kuwa mwanaume! Ila siyo rahisi.
 
Huyo ndio uliyepangiwa na Mungu hakika. Tulia sasa ulee watoto uitwe baba. Utoto,Ujinga na Uboya ACHA.
 
Malanyingi wanaume tunapobaatika kupata mapachA,huwa tunapang"ang"ania
 
Yaani umezaa naye mapacha halafu unataka umwache, wanaume wote tukifanya hivyo dunia itakua salama kweli
 
Mwana hapo ndo Kigoma mwisho wa reli, hao wengine walikuwa vituo wakati ukiwa safarini.😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom