Nimepata vyeti vyangu

Nimepata vyeti vyangu

jacobian

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
417
Reaction score
158
Baada ya kuhangaika tangu tarehe 4/2/2015 , Mungu kajibu maombi yangu nimevipata vyeti , kuanzia form four adi chuo, nilikuwa nawaza sana , acha nivitunze ninaye jua thamani yake, nimevisotea mno!

Jamani Ku laminate vyeti ni muhimu, vibaka walivitupa vimenyeshewaaa, lakini msamalia mwema kavikuta salamaaa!
 
Mungu ni mwema mkuu na hawezi kumtupa mja wake....anajua jinsi ulivyovihangaikia hadi kuja kuvipata....
 
Mkuu hongera sana mkuu,ikiwezekana nenda msikitini au kanisani ukatoe shukrani,Maana ukipoteza vyeti kuja kuvipata ni usumbufu wa hali ya juu sana.
 
Umeelezea vibaaya story nzuuuri!!!
Usidanki danki sema ulivipotezaje, lini, vimekupa usumbufu gani, na jinsi ulivyovipata.

Hao ndio wasomi wetu,analeta story as if watu wanajua issue nzima ilivyokuwa,hawajui wezao wakileta habari ya muendelezo huwa wana refer thread ya nyuma ili kama mtu ilimpita ajue kitu gani kinaendelea.Mtoa mada ebu weka thread yako ya nyuma au jazilizia nyama utueleze ilikuwaje vikapotea na vitu vinavyofanana na hivyo.
 
nishatoaga tangazo humu mkasa mzima jinsi nilivopotelewa na story nzima, huu ni mrejesho tu kwa wadau! ndo mana ambao hamkupita hapa mnamo tarehe 4.2.2015 ndo mnaona habari haijitoshelezii...:nod:
 
Ulitakiwa kutambua kuwa aliyesoma bandiko la awali ndiye atasoma la ss, kurahisisha ungelink na hilo bandiko la awali la kupotelewa vyeti au ungefanya kurejea japo for three to four lines what happened.

Background ni muhimu katika uandishi!
 
ungejua kuvitunza tangu awali......soma tena ulichokipost mwaya
 
Hao ndio wasomi wetu,analeta story as if watu wanajua issue nzima ilivyokuwa,hawajui wezao wakileta habari ya muendelezo huwa wana refer thread ya nyuma ili kama mtu ilimpita ajue kitu gani kinaendelea.Mtoa mada ebu weka thread yako ya nyuma au jazilizia nyama utueleze ilikuwaje vikapotea na vitu vinavyofanana na hivyo.

ALISHAWAHI POST TANGAZO LA KUPOTELEWA VYETI. Hii ilikua kama sehemu ya shukrani!
 
Ulitakiwa kutambua kuwa aliyesoma bandiko la awali ndiye atasoma la ss, kurahisisha ungelink na hilo bandiko la awali la kupotelewa vyeti au ungefanya kurejea japo for three to four lines what happened.

Background ni muhimu katika uandishi!

Kweli aisee
 
Back
Top Bottom