Nimepata vyeti vyangu

Nimepata vyeti vyangu

Machungu ya kupitelewa vyeti nayajua nilishawahi potelewa na mm nashukuru Mungu nilivipata.Pole na hongera mkuu.
 
Machungu ya kupitelewa vyeti nayajua nilishawahi potelewa na mm nashukuru Mungu nilivipata.Pole na hongera mkuu.
ahsante kaka, yaani inauma san, unakosa raha kama wasomi wenzio!
 
Mkuu hongera sana mkuu,ikiwezekana nenda msikitini au kanisani ukatoe shukrani,Maana ukipoteza vyeti kuja kuvipata ni usumbufu wa hali ya juu sana.

Shukrani ni kwa huyo aliyeviokota, akatoe pesa kanisani au msikitini ili iweje?
 
Back
Top Bottom