richie ze best
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 600
- 1,028
HakikaUsinisahau mkuu
Hakuna kukata tamaaPambana mkuu
AsanteHongera sana mkuu
Hata mimi nimeshangaa hapo.Hongera sana mkuu lakini sina uhakika kama Nepal ni ulaya.
Hasa hapo ugumu ni nini mkuu?Details zako hauwezi kujaza mpaka usaidiwe au tatizo ni lugha?kwema wakuu, mimi sio mwandishi mzuri, naomba huu uzi uwe kwenye stail ya maswali..ili niandike kile mnachohitaji tu.
Niulize na nitajibu bila kuficha kila kitu, lengo ni kupeana moyo.
Hapa naandika leo ni siku ya tatu niko Europe,
So kila hatua nitawajuza
Hizo picha niko ofisi ya kazi na wa Nepal, wamechukua karatasi za maelezo kama unavoziona na passport, shida hao wa Nepal wana visa ya nchi tofauti na hii tuliyopo so mpaka jamaa waka-comfirm kama wanaweza kufanya kazi hapa..wametuweka sana
Kuzamiá ulaya sikia tu kwa mwenzio, huyu bado sanaa kutoboa hiyo ni hatua ya kwanza bado hatua 9Usinisahau mkuu
InawezekanaSo unaajiliwa na wanepal!?
ungeelezea tu huo mchakato mzima wa kupata hiyo visa halafu uone kama kutakuwa na maswali baada ya hapoNiulize na nitajibu bila kuficha kila kitu,