Hivi wale jamaa wa Alshabab wa somalia - waasi wa serikali ya Somalia (kama ipo) nao wanakunywa sana pombe eehh!! au maasi unayongelea ni asprin kumuona Eliza mzuri baada ya bia ya saba na valuu mbili?
HA HA HA!Beer ni Muhimu kuliko hata wanawake sababu
- Ukienda bar unauhakika kupata beer bila hata kubembeleza
- Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukuii
- Unapoagiza bia unauhakika wewe ndiye wa kwanza kuifungua (huwa bikra)
- Unaweza shirikiana na mwenzako bila wivu
- Ukinya bia hata ukojoe mara ngapi hamu haiishi
- Bia ni siku zote za mwezi huwa haiendi mwezini wala nyotani, na wala haina siku zake za mood
Pombeka week end hii
Binafsi nilifikiria sana maamuzi ya kuacha pombe.....!
LAKINI KATIKA PILIKA PILIKA ZA MAISHA nilikutana na ''mchungaji''!huyu mpakwa mafuta ana kanisa lake BOKO....!
huyu bwana mkubwa tunamuita ''MZEE WA BONETI''....
alinishawishi sana kuendelea kunywa ''kwa namna alivyokuwa akiuendesha uchungaji wake''....
nipo zero pabu hapa tegeta nakunywa valuu na mchungaji EIKEIEI MZEE WA BONETI
Shinda na usilegee.....
Lazima tumuenzi Bwana Yesu..
sasa wandugu pombe zenyewe inategemea ni POMBE GANI.....................
adhawaisi kuna ile mambo ya mwasiti SIO KISA POMBE.......!
Hapo mtumishi ulikuwa unasali au unaomba dua?
Nikikutana naye si ntakuwa nilisha resti in piis? Nashukuru kwa ruhusa yako askofu. Sasa naweza kukutafuta leo tupige mbili tatu?Asprin, uwezo wa Mungu ni mkubwa sana na wa ajabu... endelea kunywa mwanangu, lakini siku ukikutana na Yesu, hutatamani tena pombe....
Ya nini malumbano?
Nikikutana naye si ntakuwa nilisha resti in piis? Nashukuru kwa ruhusa yako askofu. Sasa naweza kukutafuta leo tupige mbili tatu?
Lakini utuokoe na bia! Ngija nijipange, naona kiu kimeshika kasi....
Hahahaha! nimeona na hii:
Beer helps u get un-sober!
Hapa ndani mbona kuna baadhi ya watu akili zao zinafanana
akitype - Asprin unaweza kudhani ni Teamo ,RR,Masanilo,kimey ,fixed Point au bigirita
Beer ni Muhimu kuliko hata wanawake sababu