yuclighty
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 676
- 325
Nimecheka ni jinsi gani uyo kiongozi alivo na mtazamo wa aina moja tu.sio kila mtu ni konkiUmefurahi mkuu??
Nimecheka ni jinsi gani uyo kiongozi alivo na mtazamo wa aina moja tu.sio kila mtu ni konkiUmefurahi mkuu??
Haya maswali ndio yalikataliwa mkuu. Hebu tuma ticket kwanza😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Uko wapi wapi kwanza
Ndio..hafai kabisa,ebu na mm nsaidie kutafuta rafiki wa kweli kama wakoKwani alikuahidi??? Hafai huyo kuwa rafikiiiii
Haya maswali ndio yalikataliwa mkuu. Hebu tuma ticket kwanza😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀





Aiseee we should kwa kweliii. Thanks broo na shauri wako will be highly considered.cool bro... ila mfurahie rafikiyo while it last
cheers...Aiseee we should kwa kweliii. Thanks broo na shauri wako will be highly considered.
Uko wapi wapi kwanza
Haya maswali ndio yalikataliwa mkuu. Hebu tuma ticket kwanza😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Kweli umeopoa mkuu. Maandiko yako yametamalaki furaha kuuYaani kama urafiki unakuwa hivi naanzaje sasa kumuacha?? Hata kama group members wasipofanikiwa me namlipia mbona. Wait a second, she seems well financially


Ndiyo. Sisi tunaolia njaa hatupatagi marafiki.Aaahhh jamaniiiii. Nyie tenaaa
Maombi yako yasikikeOoohhh! Then she is, I pray that she is
mkuu.Usijali, besides my friend nimemwambia about my wife and kid and she is super cool. We are friends right??Hahahahaa sorry mkuu kwa swali chonganishi...i got you
Hebu njoo PM
Basi tuwe Mimi na wewe au??Ndiyo. Sisi tunaolia njaa hatupatagi marafiki.
AaaaaamynMaombi yako yasikikemkuu.
Kwaiyo humu huna marafiki?Marafiki wa JF wengi pasua kichwa...dnt trust them
Nakuona jirani, kama umemisika hivi... Tukitoka koroshoni tunahamia kahawani sasa... Just you only to choose wisely


Ahsante Hajar. OF course marafiki wapo wa kweli japo baadhi humu michosho
Afadhali mkuu, hebu malizana nae huko huko kwanza.Hebu njoo PM