Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
HongeraNasisitiza wajameni, nimepata rafiki hapa JF.
Moja ya malengoo ya kuwepo kwenye platforms kama hizi ni kuongeza idadi ya marafiki ambao wanaweza kukuongoza vyema katika mambo mbali mbali na kukufanya pia ufurahie uwepo wao. Maisha ni mafupi sana na hatuna budi kufurahia kila sekunde ya maisha yetu mbali na changamoto nyingi tulizonazo. Of course najua vyuma vimekaza.
Nimepata rafiki ambae aiseee tunaendana nahisi. Upstairs anaonekana yuko njema sana! Anaonekana ni muelewa na nafurahia kuwa rafiki yake.
Sikuwahi kudhani kwamba hapa JF kuna watu aina yake maana wengi mnaokumbana huko PM baada ya muda mchache wanaanza kuleta story za pesa and alike. Huyu anaonekana ni mtu anajiweza na hana mpango hata kidogo na hata senti moja yangu.
I enjoy chatting with her, yaani tumekutana bila ya kuweka mabandiko ya natafuta rafiki wala nini.
Wanangu ambao mnatafuta marafiki na wenye hamu ya kupata marafiki wenye akili zao basi msikate tamaa wala msilazimishe sometimes maana him michezo haitaki hasira.
Thank you pal for being there for me.
He! Yashakuwa hayo!Mkichokana muhamishie kwangu
Kabisa kabisa. Ahsante sanaHongera mkuu. Mitandao ya kijamii inachukuliwa vibaya ila marafiki wa kweli wapo pia huku. Ni jambo Jema kupata mtu unayeweza kushare nae
Mwanangu unaanza kuniwangia mapemaaaaaaMkichokana muhamishie kwangu
Ahsante Dinnah. Unajua ile furaha usipime yaaniHongera
Bora muulize. HahahahaahahahahHe! Yashakuwa hayo!
Bado mzaee!mmeshakutana? manake wengine ni makonki master
Najua nduguAhsante Dinnah. Unajua ile furaha usipime yaani
be careful though...Bado mzaee!
Na hatuna haraka maana we are friends na tunawasiliana tu fresh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mmeshakutana? manake wengine ni makonki master
I know maana nshakutana nao baadhi. Lakini I hope huyu yuko tofautiMarafiki wa JF wengi pasua kichwa...dnt trust them
Mh!Marafiki wa JF wengi pasua kichwa...dnt trust them
Aamen! Na itabidi tujitahidi tuudumishe, so unajua tena mambo ya visokorokwinyo??Najua ndugu
Raha sana kupata rafiki bora maishani
Urafiki wenu udumu.
Duh! Unanitisha mzaeebe careful though...
tuna experience mbaya sana wengine..
yes bro...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]