Nimepata ofa ya penzi la bibi kizee safarini

Nimepata ofa ya penzi la bibi kizee safarini

"Ndiyo maana wasio na akili wanazidi kuusambaza, wanatoa pesa nyingi ni nani wakuwakataza"

By Professor Jay

Hizo zinatokea sana sana ila umeniangusha kwa kutotumia zana kwa siku ya kwanza.

Kifupi umeuza Mechi kwa bei nafuu.

Check afya zenu ili uwe huru kila shows.
 
Afu kuna mijinga itaamini hii ni hadithi ya kweli.
 
Nimeumia sana moyo. Kwanini lakini Kasinde? Unapenda nife mapema?

Babu nikwambie kitu, nimekumiss kuliko maelezo. Ukinipa location yako hapa au PM nakuibukia ulipo kabla jua halihazama.

Nataka safari zilizobakia tusafiri wote.

Baby Big Sam Original mwenyewee..... Wengine wote washika mapembe.

Kasie Mahaba.
 
Kasie,
Hii siyo one night stand mleta uzi kasema wamebadilishana numbers so kuna re-match inasuburiwa. Sasa sijui tuiite home or away match?!

Dooh pole yao na kila la kheri kwao but at their own risk.
 
Juzi tu hapo mbezi nimeokota dodo 30+ kwenye daladala
 
Akuuu I love my babuz very much.

Vijana wapambane na vischana, sijui kwa nini ila niko allergic na below my age.
Ok. Maana wanasema utamu wa pipi mate yako. Kama unaona babuz ndo unaowafeel basi kwa vijana utakuwa disapointed
 
Pole Sana Ila kuna ngoma shauri yako
 
"Ni bibi kwa muonekano wa kama miaka 55+ hivi lakin mcheshi, elite, mwelewa na mwenye kuenenda na wakati"
Mkuu umekula kikongwe, umetisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom