Nimepata ofa ya penzi la bibi kizee safarini

Nimepata ofa ya penzi la bibi kizee safarini

Nami nasema, mahaba niue.

Ache nikadedi kwa Kasie...

Liwalo na liwe...

Nshafika PM nakusubiri kwa mahaba huba...

Hahahahahahaaa wenye wivu na wajinyonge kwa mlenda.

Kasie na Big Sam in the house.

Karibu babuuu nakupokea kwa mikono miwili na Mahaba yote.

Mmuahh!!
 
Hahahahahahaaa wenye wivu na wajinyonge kwa mlenda.

Kasie na Big Sam in the house.

Karibu babuuu nakupokea kwa mikono miwili na Mahaba yote.

Mmuahh!!
Umegoma kujibu PM yangu au hujaiona?
 
Umegoma kujibu PM yangu au hujaiona?

Sio bure babu, kuna namna imefanywa. PM sijapata na hata notification za kawaida zinachelewa kufika.

Naanzaje kukugomea Big Sam, basi acha nije mwenyewe chumbani. Ikiwezekana Max aingilie kati si bure nakwambia hakyanani....
 
Kama vipi huyu Max ntamloga mwenyewe...

Hawezi nifanyia hivi mimi wallah...
 
Hii mada imenikumbusha miaka ile naenda Ubungo kukata ticket saa moja asubuhi lakini ticket naipata saa tisa mchana. Siondoki mpaka nione mrembo amekata ticket ndio na mimi namwambia Gift nipe siti ya pembeni ya huyu mrembo aliyetoka hapa sasa.
 
Kama vipi huyu Max ntamloga mwenyewe...

Hawezi nifanyia hivi mimi wallah...

Hahahahahahaaa babuuu, mie siwezi fanya ugomvi na mwenye nyumba. Nyie ni wanaume mie siingilii kati, umeamka salama lakini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom