Mkuu uko sawa kabisa! Mtreat mtu vizuri tena kwa ukarimu kabisa, mshauri, mwonye mara nyingi kadiri inavyowezekana asipokuelewa kwa mda wote huo uliomfanyia hayo basi ukichukua uamuzi usirudi nyuma haijalishi utapitia magumu au kuumia kiasi gani! Na hiyo ndio kusimamia unachokiamini!
Mungu atakupa wepesi na njia ya kutokea kutokana na maamuzi yako kama ulitenda kwa haki!