mama mtarajiwa
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 290
- 449
- Thread starter
-
- #41
hatujawai kufanya mapenzi mimi ndo nilimuacha ni kijana mzurihapo utagongwa na kuachwa tena...
ulimpa papuchi mwaka juziakaigonga ,..mkachokana kila mtu akatembea kivyake ..leo tena mmekutana mnataka kusuguana na kuoana..sikukatishi tamaa na nakuombea ili hilo pepo lililoacha mkatengana lishindwe na lisirudi tena na tena
wala hawakubali bora ningenyamazaNdo mtu wa kwanza kuleta mrejesho baada ya kupata itaji lake.....omukama akulinde
Asante piasio kazi rahisi kaka ila asante kuonesha interest
nitajitahidiMpende kwa Moyo wako Wote [emoji7]
kwa hio ukaenda kutembeza nje ? basi kumbe wewe ndio hujatulia ..usije ukamuumiza kijana wa watu tenahatujawai kufanya mapenzi mimi ndo nilimuacha ni kijana mzuri
hapna ..sisi tunafuahi.. tunakupenda sana hapa JFwala hawakubali bora ningenyamaza
Juzi tu na leo unaye?nimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni Mipango ya Mungu tuwe pamoja acha tujipe nafasi tunaomba maombi yenu
hujawai kuwa ex wangu wewe?hapna ..sisi tunafuahi.. tunakupenda sana hapa JF
wewe lini?Ameniiii
Ni sababu gani iliwafanya muachane?mimi ndo nilipost akaniemail
tulikuwa mbalimbali !Ni sababu gani iliwafanya muachane?
sijawai kuwa na mtu mwinginekwa hio ukaenda kutembeza nje ? basi kumbe wewe ndio hujatulia ..usije ukamuumiza kijana wa watu tena
Nawachuna tu sitaki mume[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]wewe lini?
Miss blossom vipi wewe hujapata bwana au unaye?hongera
Ninao watatu.Miss blossom vipi wewe hujapata bwana au unaye?
mbona wengi?Ninao watatu.