AshaDii duh yaani hayo uliyoyasema ni maneno ya busara ever. Nakushukuru sana kwa kumpa mafunzo mema Mc Tilly Chizenga
Mc Tilly Chizenga hongera sana kwa kuongeza uzao katika dunia hii. Nawaombe sana wewe na mama na mtoto afya njema haswa mtoto na mama kwa wakati huu.
Uwe mfano bora kwa mwanao mlee katika uchaji wa Mungu akue katika malezi bora na wewe ukiwa kioo kwake aone mazuri yako.
Zingatia sana ushauri wa AshaDii na naamini kwa kuwa ni wa pili malezi unayajua au kama unajifunza wasiliana nasi tutakupa tips ulizokosa

Last edited by a moderator: