nimepata mtoto wa kiume

nimepata mtoto wa kiume

wapendwa wana mmu

kwa furaha kubwa napenda kuwajulisha mimi na mke wangu mpendwa tumebarikiwa kupata mtoto wa pili wa kiume.Wa kwanza ni wa kike hivyo tume balance mambo!

tupia tips za malezi bora hapa,napenda kujifunza daima!mbarikiwe

hongera, usisahau kuwasii sana jambo la ibada na dunia ni mapito
 
Ila unajua kama ada siku hizi mamilion? kama unalijua basi sitii neno
 
hongera sana MC Chizenga ...
 
Last edited by a moderator:
Mungu awape makuzi yenye afya na maadili mema. Komaa sana na malezi yao na mwisho hongera sana kwa Mrs. Mc Tilly Chizenga.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom