Mmh!! akiniacha roho itauma sana
Kwani lazima kwenye mapenz msex jamani
huyo ni mwanamme wa ngono...mnyime kabisaaa
Haka ka ujumbe na thread yako vimenichekesha saaana
ha ha ha haaa,huo ujumbe watu wanapenda sana kum-refer MUNGU
usimpe pumbavu zake ujue huyo anakudhatau saaana.inaonesha ana hamu tu yaku duu wala hakuhitaji kama mpenzi kabisa
Dada huyo bwana hana mapenzi ya dhati na wewe mwambie bado haupo tayari kwa hayo ukiona anabadilika achia boti liende litakusumbua. baadae...