Kwani lazima kwenye mapenz msex jamani
Ni sample maridhawa ya jinsi GTs wa JF tulivyo mkuu, inaenda mbali zaidi kuonyesha jinsi Watanzania tulivyo.
Kwani lazima kwenye mapenz msex jamani
hicho ndio kilichomfanya akutongoze bibie vua tu hahahaaaaaaa hutaki kuchezewa??? na wao hawataki kuchezewa nowdays
Kwani lazima kwenye mapenz msex jamani
Yes! Ni lazima kusex. Kwan ni kaka yako huyo. Acha akutafune bhana. Wote si mtapata utamu kunoga lakini?
Kuwa na boyfriend ni 50% ya kuwa na mume...Jamni naombeni ushauri, mwenzenu nna boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo, mi naogopa kuchezewa jamani nkaachwa kila nkimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje
Kama unaogopa kuchezewa baki single, kwani wakwanza kwako Huyo????? Afu unapoanza mahusiano usiwaze ndoa au ndo mumeo hiyo hutokeaga tu.
vaa kilemba, kaishi konventini uwe "sista maria"
usituchoshe wakati unamkubali ulidhan anataka nini!!!
Jamni naombeni ushauri, mwenzenu nna boyfriend wangu sasa juzi tu tumeanza mahusiano leo anadai mambo, mi naogopa kuchezewa jamani nkaachwa kila nkimueleza siko tayari anabaki kuwa msisitizaji nifanyaje
Kama unaogopa kuchezewa baki single, kwani wakwanza kwako Huyo????? Afu unapoanza mahusiano usiwaze ndoa au ndo mumeo hiyo hutokeaga tu.