Kibwengo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 6,825 Reaction score 5,295 Aug 31, 2019 #141 Rubbish
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Aug 31, 2019 #142 Daby said: Nawazia uzi utakavyokuwa cha kuhofu kisiwepo. Click to expand... Hahahahahaha Ndo umeongea nini eti jamani
Daby said: Nawazia uzi utakavyokuwa cha kuhofu kisiwepo. Click to expand... Hahahahahaha Ndo umeongea nini eti jamani
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,196 Aug 31, 2019 #143 Sakayo said: Ajabu alikuwa akicheka na mimi nacheka!! Click to expand... Chizi saana...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Aug 31, 2019 #144 Sakayo said: Unaendeaje wewe eti dada Click to expand... Naumwa bwana bado sijui nafuu kidogo hata sijui mimi na ugonjwa mwingine naona unataka kujipenyeza
Sakayo said: Unaendeaje wewe eti dada Click to expand... Naumwa bwana bado sijui nafuu kidogo hata sijui mimi na ugonjwa mwingine naona unataka kujipenyeza
G_Carson Member Joined Dec 23, 2017 Posts 15 Reaction score 13 Aug 31, 2019 #145 JF (JAMAA FULAN) hahahaaaaaa
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Aug 31, 2019 #146 Baharia Ametangazwa Kama Kifaa(Specifications) Cha Kununua Dukani
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Aug 31, 2019 #147 Daby said: Chizi saana... Click to expand... Haya maisha bwana... Ujue ni matamu sana, imagine unacheka na simu yako tuu
Daby said: Chizi saana... Click to expand... Haya maisha bwana... Ujue ni matamu sana, imagine unacheka na simu yako tuu
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Aug 31, 2019 #148 Shunie said: Naumwa bwana bado sijui nafuu kidogo hata sijui mimi na ugonjwa mwingine naona unataka kujipenyeza Click to expand... Pole sana jamani... Shida ubishi, nenda kwa hospital
Shunie said: Naumwa bwana bado sijui nafuu kidogo hata sijui mimi na ugonjwa mwingine naona unataka kujipenyeza Click to expand... Pole sana jamani... Shida ubishi, nenda kwa hospital
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Aug 31, 2019 #149 Sakayo said: Pole sana jamani... Shida ubishi, nenda kwa hospital Click to expand... Khaaa ugonjwa mwingine unaojipenyeza ule uliotoka kwako nao wa kwenda hospital ule jamani
Sakayo said: Pole sana jamani... Shida ubishi, nenda kwa hospital Click to expand... Khaaa ugonjwa mwingine unaojipenyeza ule uliotoka kwako nao wa kwenda hospital ule jamani
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,003 Reaction score 72,292 Aug 31, 2019 #150 Sakayo said: Kama G wetu my dear Click to expand... Wallah ni mwanaume mzuri sijutii wanaume humu wapo ila wa kulenga na manati
Sakayo said: Kama G wetu my dear Click to expand... Wallah ni mwanaume mzuri sijutii wanaume humu wapo ila wa kulenga na manati
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,003 Reaction score 72,292 Aug 31, 2019 #151 Sakayo said: Oooohh Ila mwambie wakipishana kidogo watulie wayamalize... Mabaharia wapo humu kusubiriaa betriii ichomolewe Click to expand... akiona hivyo ujue alikuwa na furushi kubwaa
Sakayo said: Oooohh Ila mwambie wakipishana kidogo watulie wayamalize... Mabaharia wapo humu kusubiriaa betriii ichomolewe Click to expand... akiona hivyo ujue alikuwa na furushi kubwaa
Sweta LA Tanzania JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 902 Reaction score 2,836 Aug 31, 2019 #152 Tûpo ndio tatizo piyemu mmefunga Sakayo said: Simjazi walaa Huo ndo ukweli, wanaume wapo humu jf waowaji, wenye mapenzi ya dhati na waaminifu Click to expand...
Tûpo ndio tatizo piyemu mmefunga Sakayo said: Simjazi walaa Huo ndo ukweli, wanaume wapo humu jf waowaji, wenye mapenzi ya dhati na waaminifu Click to expand...
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,003 Reaction score 72,292 Aug 31, 2019 #153 Sakayo said: Nisimulie hebu Mb zangu zitaisha au umechoka kuniona humu jf Click to expand... Mwenzio nimehamia ttcl najiachia tu tena ya chuo voda washenziii
Sakayo said: Nisimulie hebu Mb zangu zitaisha au umechoka kuniona humu jf Click to expand... Mwenzio nimehamia ttcl najiachia tu tena ya chuo voda washenziii
cadey JF-Expert Member Joined Oct 14, 2014 Posts 1,455 Reaction score 4,432 Aug 31, 2019 #154 Daby said: Ila kuna wanaume hawapo serious kabisa. Napenda kufuatilia dates saana hii ilinivunja mbavu.. kama una mb pita uisikilize. Cc Sky Eclat Sakayo Heaven Sent Click to expand... Mi nilikuwa napenda kufatilia ya take me out mzansi
Daby said: Ila kuna wanaume hawapo serious kabisa. Napenda kufuatilia dates saana hii ilinivunja mbavu.. kama una mb pita uisikilize. Cc Sky Eclat Sakayo Heaven Sent Click to expand... Mi nilikuwa napenda kufatilia ya take me out mzansi
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,451 Aug 31, 2019 #155 Dinazarde said: Wallah ni mwanaume mzuri sijutii wanaume humu wapo ila wa kulenga na manati Click to expand... Hahahaha ,duh
Dinazarde said: Wallah ni mwanaume mzuri sijutii wanaume humu wapo ila wa kulenga na manati Click to expand... Hahahaha ,duh
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,479 Reaction score 176,529 Aug 31, 2019 #156 Baba Swalehe said: Kwa hiyo unaturingishia ama Unataka tukusaidie nini hebu jaribu kuwa muwazi ! Click to expand... Ni wivu tu baba bulubendi.
Baba Swalehe said: Kwa hiyo unaturingishia ama Unataka tukusaidie nini hebu jaribu kuwa muwazi ! Click to expand... Ni wivu tu baba bulubendi.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,196 Aug 31, 2019 #157 Sakayo said: Haya maisha bwana... Ujue ni matamu sana, imagine unacheka na simu yako tuu Click to expand... Halafu umewasha TV hata hufwatilii kinachoendelea.. acha mapenzi yatawale tu.
Sakayo said: Haya maisha bwana... Ujue ni matamu sana, imagine unacheka na simu yako tuu Click to expand... Halafu umewasha TV hata hufwatilii kinachoendelea.. acha mapenzi yatawale tu.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,479 Reaction score 176,529 Aug 31, 2019 #158 Eti Sakayo kanidanganya eti unaumwa. Shunie said: Ebu acha kumtisha dada wa watu Click to expand...
D Dotmag Member Joined Aug 30, 2019 Posts 37 Reaction score 22 Aug 31, 2019 #159 Daby said: Halafu umewasha TV hata hufwatilii kinachoendelea.. acha mapenzi yatawale tu. Click to expand...
Daby said: Halafu umewasha TV hata hufwatilii kinachoendelea.. acha mapenzi yatawale tu. Click to expand...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,479 Reaction score 176,529 Aug 31, 2019 #160 Ukisikia uongo ndio huu. Hebu baki na uongo wako. Sakayo said: Ukisikia uchawi ndo huu sasa! Wewe baki na ubaharia wako, wanaume waamifu wapo jf, tena wengi sana! Cc@Njopino Click to expand...
Ukisikia uongo ndio huu. Hebu baki na uongo wako. Sakayo said: Ukisikia uchawi ndo huu sasa! Wewe baki na ubaharia wako, wanaume waamifu wapo jf, tena wengi sana! Cc@Njopino Click to expand...