Ohooo samaki mwingine huyu amekutana na baharia ,tumpe mwezi tu atarudi hapa analialia na hizo ngonjera zake zote zitakuwa vice versa.
Mambo mengine mtuulize sisi kwanza tuwape experience.
Nakushauri mkiwa na Baby hakikisha PICHA isiwe utamaduni wenu..usipendelee sanaaa kupiga piga mapicha maana IPO siku picha yako mwenyewe utakua unaiogopa.
kwa kukazia mnapokua pamoja usipendelee sana matumizi ya smart phone..na hta kama itawalazimu kupiga pcha basi hakikisha unakaa vizuri pcha itoke vizuri,usikae hovyo hovyo Jitahidi mpige wote picha usikubali kupiga pcha mwenyewe.
Ohooo samaki mwingine huyu amekutana na baharia ,tumpe mwezi tu atarudi hapa analialia na hizo ngonjera zake zote zitakuwa vice versa.
Mambo mengine mtuulize sisi kwanza tuwape experience.
Umeshamfungulia dunia tayari?
Kama bado aisee hizo sifa ulizomwaga hapo juu zi pause kwanza maaana asije kuuliza wauzaji wa ile dawa maarufu kwa wanaume #Al kasus# migongo ni tatizo!