Nimepata mpenzi Jf

Mimi nakutakia kila lenye baraka, mjitahidi sana kuweka mambo yenu private, asijue mtu hata kama mnapitia magumu, especially humu.

.. lakini nasisitiza, mpeane tunda la adam ili mjuane vizuri, tunda ni tamu kama linatosha, tunda ndio kiunganishi cha maisha yenu. Peaneni na msinyimane...
 
Atakuwa anapata dudu la yuyuuu
Tuseme shunie kanitelekezaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Shunie ako na mdondo, anaumwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fwala wewe acha nilale mie hivi wewe sakayo si ulisema tuleft tukalale mimi sirudi tena Dina ana amani sasa sio G wake
 
Ohooo samaki mwingine huyu amekutana na baharia ,tumpe mwezi tu atarudi hapa analialia na hizo ngonjera zake zote zitakuwa vice versa.
Mambo mengine mtuulize sisi kwanza tuwape experience.
Tatizo la humu mabaharia hatupewi kipaumbele alipaswa kuchukua ushauri kwetu
 
Mtoa uzi jinsia yako ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…