Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Nimefika mpaka ofisini kwakeUmewahi kumuona mkuu?
Hilo halina tatizo mi nawatakia mahusiano mema ikiwezekana hadi ndoaNimefika mpaka ofisini kwake
Kwani mnanifahamu?Hongera sana, lkn uwe msir katika mambo yako hii ni hatua ya mwanzo kabisa.
Wengi pia wanakutana humu lkn hawaanzishi uzi kama wew.
Kwani mnanifahamu?
Hatukufaham ila unaweza ukampeperusha huyo mtu wako.Kwani mnanifahamu?
endelea kupenda warefu ivyo ivyo hata sisi wafupi hatutaki kuharibiwa mbeguNimepata mpenzi humu jukwaani. Tunakwenda taratibu. Amepanda juu hii ndiyo furaha tangu Nina allergy na Andunje.
Ninahisi ninampenda. Katika maongezi nimegundua tunasali kanisa moja.
Nimepata mpenzi humu jukwaani. Tunakwenda taratibu. Amepanda juu hii ndiyo furaha tangu Nina allergy na Andunje.
Ninahisi ninampenda. Katika maongezi nimegundua tunasali kanisa moja.