JMP Mchungu
Member
- Jun 30, 2015
- 49
- 125
Ndugu wana JF naomba msaada nifanye nini nimepata mkopo! ila cha kushangaza mkopo wanaonesha unaenda chuo cha MWENGE CATHOLIC wakati mimi nilichaguliwa UDOM na tayari nimeripoti nifanyeje?? msaada
Hamisha mkopo kutoka mwenge kuja UDOM japo itachukua mda Usiwe na hofu inawezekana....Tafta mawasiliano nao.Ndugu wana JF naomba msaada nifanye nini nimepata mkopo! ila cha kushangaza mkopo wanaonesha unaenda chuo cha MWENGE CATHOLIC wakati mimi nilichaguliwa UDOM na tayari nimeripoti nifanyeje?? msaada
Kwanza nenda kwa Loan Officer wa Chuo chako mweleze atakupa Mwongozo pia anauwezo wakushughulikia tatzo lako na ukabaki kupata taarifa....Kuhusu mda hamna fixed time inategemeana na Ufuatiliaj wako au loan officer wako na wa hcho chuo kingne. AhsanteProcess ni zp na inachukua mda gan mpaka mkopo kuhama??
Mkuu round ya ngapi umepata ???Ndugu wana JF naomba msaada nifanye nini nimepata mkopo! ila cha kushangaza mkopo wanaonesha unaenda chuo cha MWENGE CATHOLIC wakati mimi nilichaguliwa UDOM na tayari nimeripoti nifanyeje?? msaada
Nenda tcu kama vp nicheq PM nikujuze zaid jana nilikuwa bodi ya mikopo waldai TCU ndio wenye mamlakaNdugu wana JF naomba msaada nifanye nini nimepata mkopo! ila cha kushangaza mkopo wanaonesha unaenda chuo cha MWENGE CATHOLIC wakati mimi nilichaguliwa UDOM na tayari nimeripoti nifanyeje?? msaada
Muelekeze mwenzio, hivyo ungeandika comment moja kwa moja hapa kueleza kinachotakiwa ama responsibility ya tcu katika hili ungekuwa umesave mda na jamaa. Hasa ishu kama hii ni ya pm mkuu?Nenda tcu kama vp nicheq PM nikujuze zaid jana nilikuwa bodi ya mikopo waldai TCU ndio wenye mamlaka
bro nakucheki pia PMNenda tcu kama vp nicheq PM nikujuze zaid jana nilikuwa bodi ya mikopo waldai TCU ndio wenye mamlaka
Watu wengine sijui wakoje hajui kupitia hapa anawasaidia na wengineMuelekeze mwenzio, hivyo ungeandika comment moja kwa moja hapa kueleza kinachotakiwa ama responsibility ya tcu katika hili ungekuwa umesave mda na jamaa. Hasa ishu kama hii ni ya pm mkuu?
Anataka labda ampige na kizinga cha mpunga mkuu c unajua vyuma vimekazaMuelekeze mwenzio, hivyo ungeandika comment moja kwa moja hapa kueleza kinachotakiwa ama responsibility ya tcu katika hili ungekuwa umesave mda na jamaa. Hasa ishu kama hii ni ya pm mkuu?