Nimepata mchumba wa kumuowa mfupi kuliko wote duniani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Msichana mfupi kuliko wote duniani
6129114.jpg

Bibie Jyoti Amge akichukuliwa vipimo vya urefu wake.
Sunday, December 18, 2011 10:25 AM
Mwanafunzi wa Kihindi, Jyoti Amge, ni msichana aliyevunja rekodi ya dunia

ya msichana mfupi kuliko wote duniani, kwa mujibu wa rekodi inayosajiliwa na kitabu cha rekodi cha Guinness.
Runinga ya NBC ya Marekani, siku ya Ijumaa 17/12/2011, imeripoti kuwa Jyoti Amge mwenye umri wa miaka kumi na minane 18, ana urefu wa sentimeta

62.8. sawa na inchi 24.7. Kwa hiyo msichana huyo ndio msichana mfupi kuliko wote duniani akiwa amempita msichana wa Kimarekani Bridgette Jordan

mwenye umri wa miaka ishirini na miwili 22, ambaye ana urefu unaovuka ule wa Jyoti Amge kwa sentimeta saba 7. Kwa mujibu wa habari hiyo, Bridgette Jordan, alikuwa anashikilia rekodi hiyo tangu Septemba 2011.

Siku ya Ijumaa, Bibi Jyoti Amge, alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa katika jiji la Nagpur. Wakati huo huo amenukuliwa akisema “Furaha ilioje kwa

kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka kumi na minane 18 nikishika rekodi mpya. Kwa kweli tukio hili ni zawadi ya nyongeza kwa sherehe ya kuzaliwa kwangu.”

Katika picha mrembo huyo anaonekana akiwa amepiga pozi la kukata na shoka, akiwa na gauni lake lenye nakshi za kihindi, amependeza ile mbaya. Kwa kweli ni

mandhari nzuri sana, hata hivyo hadi nifahamishe inaiingia mtamboni haijafanikiwa kujua kama ana mchumba au hapana! Shangwe ya kuzaliwa kwako bibi Jyoti Amge! (Happy birthday to Jyoti Amge)

<tbody>
</tbody>
 
Hapa tanzania mbona wapo kibao. Pale SUA - Morogoro kuna mbilikimo ame graduate BSC Food science two yrs ago hafikish cm 6o, na pale zanaki sec yuko mwanafunzi wa formIII ni mfupi kupindukia.
 
Dah kabinti kafupi sana aisee ila congo patakuwepo waliomfunika sema tu hawajajitangaza
 
Wenzetu wanahwahimku kujitangaza........huyu ukimpata na wewe unakuwa celebrity....Najiuliza masuaa ya kijinsi ie kubeba ujauzito itakuwaje?
 
Back
Top Bottom