Nimepata mchumba au kombora?

Nimepata mchumba au kombora?

fabivic

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
227
Reaction score
123
Miezi kadhaa nilipost hapa nikitafuta mchumba wa kuoa

Nikapata kama wadada wawili,ktk kuchuja kwangu nikampenda mwenye rangi nyeupe maana mwingine ni black,

Tumechat whatsapp kwa miez sasa bila kuonana lkn tunatumiana picha mbalimbali aidha tupo kazini au nyumbani,

Jana tulipanga appointment ya kuonana na mimi nisingeweza kumfata aliko ila akaomba nimtumie elfu 50 achukue taxi mpaka nilipo,

Sasa nipo dilema najiuliza hivi nitume kweli 50 au niache maana moyo una 6 au ni mhuni maana?

Hapa mjini!
 
mwambie apande boda boda utalipia akifika

tax itakaa foleni asijione anajua sana hela kulijo benki
Bodaboda anasema hajawahi kupanda na huko aliko ziko mbali ila ana namba za taxi dreva tu
 
Nimelibaini hilo japo sina uhakika lkn yeye mlokole ss atadanganya kwl
Ww unatumia kigezo kipi kujua kuwa mlokole...au ndo hzo picha mnazotumiana???
1...kumbuka hapa ni mjini watu wapo radhi kuvaa viatu vyovyote linapokuja swala la pesa
2...ww ulitaka mchumba ili MPENDANE au ili wewe UMPENDE yeye asikupende??...kama jibu "MPENDANE" anashindwaje kutumia nauli yale kwenye daladala ambayo nna uhakika haizidi elf 5 kuja kukuona????

3....kama anashindwa kuja kukuona bila kumpa elfu 50 then ask yourself "what is love???"
4....kuwa makini
5.....there are still more things that are worthwhile to do in a life than love(..bado kuna vitu vingi vya kufanya katika maisha zaidi ya mapenzi)
 
Kama humuamini mtumie usafiri wa uber, utalipia mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom