Nimepata mchepuko usio na gharama

Nimepata mchepuko usio na gharama

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Mara nyingi michepuko inakuwa na usumbufu wa hapa na pale katika suala la Matumizi yaani bajeti yake inaweza kuwa kubwa kuliko hata bajeti ya familia nyumbani.

Michepuko ina maudhi ya mizinga ya hapa na pale na mingi ni ya kushtukiza tu. Lakini mie nimebahatika kupata mchepuko usio na gharama au cheap karibu na bure kabisa mpaka nijishtukie mwenyewe na hasa tukitoka out kwenye maeneo ya starehe kuchangia bills za eneo la tukio.

Hana gharama kwa sababu ana uwezo mzuri wa kipato na ana kazi yake nzuri tu pamoja na miradi ya hapa na pale pia hana tamaa ya mizinga ya hapa na pale.

Kiufupi hana dhiki si kama wanawake wengine makahaba wakimpata mwanaume wanachukulia kama kitega uchumi chake a.k.a ATM.

Usiniulize kwa nini sijabaki njia kuu, kule hakuna matatizo wala mapungufu yoyote nimechepuka tu kama entertainment ya ziada tu.
 
Chepuka naye angalau miezi sita ndio utajua kama mchele au pumba. Sasa ni mapema!
 
Jaribu kumuuliza kodi ya pango alilipa lini, inaweza kuwa Ndio inakaribia hivyo
 
Mara nyingi michepuko inakuwa na usumbufu wa hapa na pale katika suala la Matumizi yaani bajeti yake inaweza kuwa kubwa kuliko hata bajeti ya familia nyumbani. Michepuko ina maudhi ya mizinga ya hapa na pale na mingi ni ya kushtukiza tu. Lakini mie nimebahatika kupata mchepuko usio na gharama au cheap karibu na bure kabisa mpaka nijishtukie mwenyewe na hasa tukitoka out kwenye maeneo ya starehe kuchangia bills za eneo la tukio.

Hana gharama kwa sababu ana uwezo mzuri wa kipato na ana kazi yake nzuri tu pamoja na miradi ya hapa na pale pia hana tamaa ya mizinga ya hapa na pale. Kiufupi hana dhiki si kama wanawake wengine makahaba wakimpata mwanaume wanachukulia kama kitega uchumi chake a.k.a ATM.

Usiniulize kwa nini sijabaki njia kuu, kule hakuna matatizo wala mapungufu yoyote nimechepuka tu kama entertainment ya ziada tu.

Am hap for yu Dengue fanya unipe nmbr ya njia kuu yk nmepe hz taarfa na yy afurahie
Pumbavu
 
Najua inakuuma unapokohoa mi sikohoi.

Ha ha ha kwa kipi kwa kulipiwa bills?

Be serious even a lito bit au kwa usinzi wa kumwacha mkeo wa ndoa?
Au kwa kuja kujisifu jf kuwa una mchepuko

Sikohoi kwa lolote mkuu
 
Ha ha ha kwa kipi kwa kulipiwa bills?

Be serious even a lito bit au kwa usinzi wa kumwacha mkeo wa ndoa?
Au kwa kuja kujisifu jf kuwa una mchepuko

Sikohoi kwa lolote mkuu
Utakohoa sana mwaka huu.
 
Back
Top Bottom