Nimepata mbinu mpya ya kupunguza gharama ya tozo za miamala

Wanafunzi hawana hata madawati halafu unasikia kodi yako imetumika kuwajengea majumba na kuwanunulia wastaafu magari.
Watu ambao hawan tatizo lolote la kifedha ndio wanaongezewa michongo ya hela na kuzawadiwa mavitu ya gharama!😅

Wasionacho wanakamuliwa kichizi only in Tanzania
 
Wanafunzi hawana hata madawati halafu unasikia kodi yako imetumika kuwajengea majumba na kuwanunulia wastaafu magari.
Hili ndilo hasa tatizo. Unalipa kodi kumfanya Spika Ndugai asafiri kwenye ndege first class. Au viongozi wa serikali (ambao ni list ndefu sana) wasafiri kwenye business class za ndege. Au kununulia wakuu wa mikoa mashangingi. Ulaya viongozi wengi wanasafi na kuishi maisha ya kawaida kabisa.
 
Halafu sie ndio tunalipia hizo gharama kwa kuambiwa ni kodi za uzalendo.
 
Unawapa siri tena? Umeharibu watakuja huko sasa..
 
Passive resistance inanguruma hadi vitongoji-non-violent opposition to authority, especially a refusal to cooperate with legal requirements.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…