Nimepata kazi CLOUDS!

Hongera sana Zinduna; sijui kwanini nilifikiri CLOUD FM/TV nikasema women lounge is goin on air!

I am real happy for you gal!
 
Last edited by a moderator:

Mpeleke disco pia...
Lile la pale jirani na ukumbi wa cinema wa Majestic zamani,njia ya Vuga..
 
Last edited by a moderator:
duh! ni mepitwa na bonge la pati dah!

kila la heri bestiee.............

naona ubize utaongezeka so msuto utapungua lol! nafuu kwa Bishanga lkn
 
Last edited by a moderator:
watu8 tutaonana mule kwenda kumpa hongera Zinduna.....

Dinner pale Zanzibar Serena

mie hupenda sana kula "Pagoda Chinese Restaurant" ipo Stone Town karibu kabisa na Wizara ya Sheria au Zantel Vuga...
Kama vipi utanijoin hapo sweetheart!!
 
mie hupenda sana kula "Pagoda Chinese Restaurant" ipo Stone Town karibu kabisa na Wizara ya Sheria au Zantel Vuga...
Kama vipi utanijoin hapo sweetheart!!
watu8 ntakujoin hapo Pagoda..

Sasa hilo neno lekundu si ungelituma kwa PM? Mume wangu Filipo hatakuelewa ujue....
 
Last edited by a moderator:
watu8 ntakujoin hapo Pagoda..

Sasa hilo neno lekundu si ungelituma kwa PM? Mume wangu Filipo hatakuelewa ujue....

Hahahah...akilitafsiri moja kwa moja atapata pressure ya ubongo! Lakini kama Kimombo kimelala sweetheart ina maana zaidi ya ile maana ileeee nyingine cupcake!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah...akilitafsiri moja kwa moja atapata pressure ya ubongo! Lakini kama Kimombo kimelala sweetheart ina maana zaidi ya ile maana ileeee nyingine cupcake!

Mume wangu atatafsiri "Moyo Mtamu" halafu ndipo patakapoleta shida... Sasa hivi inabidi nisimkorofishe maana ntanyimwa kwenda Tanga ........
 
Mume wangu atatafsiri "Moyo Mtamu" halafu ndipo patakapoleta shida... Sasa hivi inabidi nisimkorofishe maana ntanyimwa kwenda Tanga ........

Lolest! .... kazi ipo
Akikunyima kwenda huko si ndio safari ya kwenda msalimia Zinduna twaifanya mapema zaidi....
 
Lolest! .... kazi ipo
Akikunyima kwenda huko si ndio safari ya kwenda msalimia Zinduna twaifanya mapema zaidi....
watu8 akili yako inayo akili...Nilikuwa sijawaza hivyo........
 
Last edited by a moderator:
watu8 akili yako inayo akili...Nilikuwa sijawaza hivyo........

ndio maana tupo watu 8...hapa jambo halishindikani....
halafu kumshangaza Filipo sasa, watu wanne watakua Tanga na waliobaki wanne watakua nawe Zenji...
 
Last edited by a moderator:
hongera zako, sasa macho na masikio yako yatakuwa mwisho wa mwezi
 
Zinduna my baby hongera sana, usisahau tu kuwa mshahara wako wa kwanza ni lazima urudi kwangu mimi mama ili nitoe fungu la kumi nipeleke mahala pake na inayobaki tukacheze ngoma ya jadi kwa ajili ya kuwashukuru wote waliopiga dua kwa ajili ya mafanikio yaha.

I hope hautasahau hili, tuna tu kwa mp pesa nami nitakujulisha upokeaji.

Namalizia kwa kukutakia kila la kheri katika kazi yako mpya na usisahau kuonyesha mfano wa yale malezi bora niliyokulelea.

 
Last edited by a moderator:
duh! ni mepitwa na bonge la pati dah!

kila la heri bestiee.............

naona ubize utaongezeka so msuto utapungua lol! nafuu kwa Bishanga lkn
ninachoshangaa kabla ya kupata ajira Zinduna alikuwa anaishije,no wonder alikuwa hakosekani kona bar.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Zinduma Mungu akujalie yaliyo ya kheri, na akupe akili nzuri ya kutumia mshahara wako.

N:B Usisahau wazazi maana ndiyo Mungu wa Dunia Hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…