wacha majungu kaka lol
Baada ya kusotea ajira kwa takriban mwaka mzima, hatimaye jana nimeitwa na kusaini mkataba na kampuni hii iliyojikita hapa nchini kwa miaka kadhaa sasa. Kuanzia sasa nitakuwa ni mmoja wa waajiriwa wa kampuni hii inayojishughulisha na masuala ya utalii. Nitakuwa ni meneja wa ushauri na masoko kwa upande wa utalii katika kampuni hii ya Clouds Travel Agent yenye makao yake makuu visiwani ZNZ.....
Duh, sasa nitaanza kupokea mshahara.
Haya kina gfsonwin, cacico, amu, Asprin, Zion Daughter, Madame B, Ciello, charminglady, Arushaone, Mungi, Young Master, Preta, lara 1, BADILI TABIA, Kiranga, Bujibuji, Kaunga, Mamndenyi, King'asti, Erickb52, Ruttashobolwa, Fidel80, Bishanga, watu8, SnowBall, Mwita Maranya, figganigga, Preta, snowhite, @C6, marejesho, Lisa, nivea, Baba V, MadameX na wana chit chat wengine nawaomba msherehekee pamoja nami kwa kupata ajira!
wewe hujamsoma kama alisotea mwaka mzima?...nambie mwaka mzima huo ilikuwaje?
Kwani wewe hupigi mizinga?...........
umesusa kwenda tanga kisa umegundua mwanao atakuwepo asijegundua mamabo yako eeeeee?
hehehehehehehehehehehehehheheehheheheheheh watch the dog meeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
ina maana ntakuwa najipiga mizinga mwenyewe sasa.
wewe ndo baba na mama?
Baada ya kusotea ajira kwa takriban mwaka mzima, hatimaye jana nimeitwa na kusaini mkataba na kampuni hii iliyojikita hapa nchini kwa miaka kadhaa sasa. Kuanzia sasa nitakuwa ni mmoja wa waajiriwa wa kampuni hii inayojishughulisha na masuala ya utalii. Nitakuwa ni meneja wa ushauri na masoko kwa upande wa utalii katika kampuni hii ya Clouds Travel Agent yenye makao yake makuu visiwani ZNZ.....
Duh, sasa nitaanza kupokea mshahara.
Haya kina gfsonwin, cacico, amu, Asprin, Zion Daughter, Madame B, Ciello, charminglady, Arushaone, Mungi, Young Master, Preta, lara 1, BADILI TABIA, Kiranga, Bujibuji, Kaunga, Mamndenyi, King'asti, Erickb52, Ruttashobolwa, Fidel80, Bishanga, watu8, SnowBall, Mwita Maranya, figganigga, Preta, snowhite, @C6, marejesho, Lisa, nivea, Baba V, MadameX na wana chit chat wengine nawaomba msherehekee pamoja nami kwa kupata ajira!
Kaka SnowBall ntakueleza yale mambo maana naona the issue is became serious aisee hizi familia nyingine ukikosea kila mmja anaataka akuadhibu du mpaka namwonea huruma yule kijana.