Nimepata Jack Daniel....

tafadhali ishia hapohapo unataka wengine tufe au?

heheheee kufa hutakufa ila chamoto utakiona siku za mwanzo, raha ya mlevi aoe mlevi weee iyo nyumba balaa. Ila mlevi aoe asiyekunywa looooh taaabu tupu lazima mwanamke aanzishe mahusiano nje.... akishindwa vumilia hii hasa pale kabla ya kuoana jamaa aliificha tabia hii
 
Ushawahi kunywa pombe mkuu!!?

Hapana, sijawahi kunywa wala sitamani wala sishawishiki hata, japo zamaaaaani za kale wakati niko middle school dingi alikuwa akituonjesa sip watoto wake woote ndo na yeye anaendelea na masanga yake lol
 
Back
Top Bottom